Kampuni zinapofanya modifications kwenye logo zao nakuzitumia, kunakuwaga na mawazo tofauti, lakini hili la vodacom litaleta mitizamo tofauti hasa kwa tusiosupport LGBTQ.
Hii ni account ya X...
China imeanza uzalishaji kwa wingi wa chipu za kisasa za akili bandia (AI) zinazotumia mfumo usio wa jadi wa “non-binary” — yaani hazifanyi kazi kwa mfumo wa kawaida wa tarakimu mbili (binary) wa...
Habari zenu wadau,
Naomba kujuzwa bei ya laptop na desktop bora na imara za kisasa na Kama kuna mtu anaweza kunielekeza utofauti na ubora wake nasikiliza.
Toleo jipya la ios 26 imekuja ikiwa na feature mbalimbali zenye kuipendezesha iphone lakini asilimia kubwa Feature nyingi zilizopo kwenye toleo jipya la iOs 26 zimetolewa kwenye android miaka 5...
Hisabati imenipa Fikra Tunduizi
“Mathematics is the universal dialect; where words fail, equations speak.”
Nikiwa kijana mdogo nilipenda sana Algebra, nilipenda Maumbo na sura zake, tangu...
Kama unatumia simu basi ni muhimu kuwa na program hizi 5, kama hauna basi your phone is useless 😌, wakati unafungua simu yako Toka kwenye box lake baada ya kununua kuna hisia fulani ya Furaha...
WhatsApp Inazindua Features mpya kwenye Advanced Chat Privacy — Hii Inabadilisha Kila Kitu!
Wengi wetu tunazidi kuwa na wasiwasi…
Je, jumbe zako za WhatsApp zinatumika kufundishia AI?
Je, chats...
Niaje wakuu
Hii nimesikia mtu akikukuta unatumia iPhone anasema kuwa iPhone ni simu za wadada, au Tecno na Infinix "za wamama"!
Kuna ukweli wowote katika hili?
Cc: Samsung & Pixel Fans
Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengenezwa electric motor ambazo zitakuwa zina-speed zaidi ya mwanga na zitakuwa zinatumiwa na rockets
Ni ukweli kwamba technology ya sasa ya electric motor haiwezi...
Habari,
Naitwa Jordan , naongoza mradi wa Trustika, platform mpya kabisa inayolenga kuleta mabadiliko makubwa katika biashara za mtandaoni barani Afrika, hasa Tanzania.
Tatizo tuliloligundua...
Wakorea wanazidi kupamba moto kupitia Kampuni ya simu Samsung inataka kufanya game changer mwaka huu 2025, ambayo wanataka kuleta mapinduzi baada ya Huawei kuleta simu inayoweza kujikunja mara...
Usafi wa Laptop:(Usafi ni Uhai wa Laptop Yako ).
Unajua laptop yako nayo inahitaji “kupumua”? Yaani kama huifanyii usafi mara kwa mara, inajaa mavumbi kama kabati la bibi,Leo ngoja nikusimulie...
Unahitaji programu gani ya kompyuta nikupe (Windows OS peke yake)
Napatikana mkoa wa Dar es salaam, Mbezi
Mawasiliano: 0756704145
Kwa mahitaji ya kuweka Windows 10 OS Genuine gharama yake ni...
Habari zenu wadau,naombeni msaada kwa mwenye uelewa..natumia Simu ya Xiaomi Redmi note 3 pro ina IR blaster kwa ajili ya ku control vitu kama Tv,AC,fan n.k tatizo nlilonalo ni kuwa kwenye...
M.2 SSD ni Nini? Fahamu Chanzo cha Kasi Mpya kwenye Kompyuta za Kisasa
Na Maleko GJ
Ikiwa kuna kitu kimoja watumiaji wa kompyuta wanataka zaidi kila siku, ni kasi. Kasi ya kuwasha kompyuta...