XIAOMI CODE: Hii code ukipiga kwa watumiaji wa Xiaomi utapata baadhi inf muhimu

KingPower

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
1,098
1,745
##6485##

Hii code ukipiga kwa watumiaji wa Xiaomi utapata baadhi inf muhimu

MF-02 idadi ya michomeko ya chaji toka simu ilipo nunuliwa

MB-06 battery health ect.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
##6485##

Hii code ukipiga kwa watumiaji wa Xiaomi utapata baadhi inf muhimu

MF-02 idadi ya michomeko ya chaji toka simu ilipo nunuliwa

MB-06 battery health ect.
mkuu mbona hakuna kinachotokea au mpaka simu itumie mi phone dialer
 
Back
Top Bottom