Msaada Wenu Wadau Kwenye Haya Matuta

Mastamind

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
1,202
664
Galaxy Note 9

1. Kugoma kutuma Hotspot-Inashare ila 2ñd Device haionekani
2. Kugoma Kusoma USB kwenye PC
3. Picha Kutoa Ukungu/mwangwi wa mwanga

Nifanyeje
1. Hotspot ionekane kwenye device zngne
2. USB isome kwenye PC
3. Picha zitoke clear sio kuwa na wingu
 
Hakikisha Hotspot umeset 2.4Ghz

2. USB isome kwenye PC , ukishachomeka USB, Swipe screen down na uchague Aina ya connection unayoitaka

3. Picha zitoke clear sio kuwa na wingu Lensi ya camera haina uchafu?
 
Galaxy Note 9

1. Kugoma kutuma Hotspot-Inashare ila 2ñd Device haionekani
2. Kugoma Kusoma USB kwenye PC
3. Picha Kutoa Ukungu/mwangwi wa mwanga

Nifanyeje
1. Hotspot ionekane kwenye device zngne
2. USB isome kwenye PC
3. Picha zitoke clear sio kuwa na wingu
Picha kutoa ukungu umeangalia lens kama ipo vizuri? Haina uchafu ama huo ukungu?

USB kwenye pc ulivyochomeka umejaribu kuvuta pazia la notification na kuchagua transfer mode? Ama kwenda setting kisha search USB kwenye USB mode ukaweka hio transfer? Simu mpya nyingi by default ukichomeka na pc zinachaji tu.

Hotspot jaribu kutumia 3rd party app kama hotspot controll ya chain fire nafkiri ipo playstore.
 
Sante kwa 3rd part
Ila kwenye camera lenzi sio chafu
Nikipga bila flash inatoka vzuri tu
Ila ukipga kwa flash ndo inaleta reflection kwa pcha

USB nikienda Notification kuset transfer mode inagoma na kujirudsha kwenye charge
 
Camera pia mkuu jaribu app nyengine mfano gcam ama port nyengine za camera, hii itakusaidia kujua kama tatizo ni app ya camera ama camera hardware.

Type C pia zinachafuka jaribu kuangalia kama kuna uchafu,
 
Sante broo
 
Back
Top Bottom