Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nimekwama wadau,kama kichwa cha habari kinavyoeleza,lengo langu ni kuweka windows 11 version 23H2,nimefuata taratibu zote za jinsi ya kuinstall windows 11 kwenye laptop yangu ya Microsoft Surface...
1 Reactions
8 Replies
560 Views
Landing page ni sehemu ya kwanza mteja anakutana nayo โ€” kama mlango wa duka lako. Ukiwa boring au usioeleweka, hataingia ndani. Hii hapa ni formula ya kuandika landing page kali, inayo-convert kwa...
0 Reactions
3 Replies
500 Views
Unachohitaji ni Internet ya uhakika: Kwa watumiaji wa android au smart TV, ingia PlayStore, download Lokke. Ukimaliza, ifungue. Kwenye search, andika vavoo.to Baada ya hapo, channels kibao...
2 Reactions
2 Replies
355 Views
Hizi ni Myth 7 za Teknolojia Zinakupotezea Pesa Nyingii Mno Je, umewahi kuambiwa kwamba lazima ununue cable ya bei ghali ili kupata picha bora kwenye TV yako? Au kwamba kamera yenye megapixel...
6 Reactions
4 Replies
817 Views
Tunashukuru kwa sapoti kubwa kutoka kwa wafanyabiashara na wajasiriamali mbalimbali. Leo tumefika hatua kubwa: โœ… 50,000+ Installs kwenye Play Store โœ… 12,000+ watumiaji hai kila siku...
3 Reactions
6 Replies
521 Views
TSH Rates Kila siku TSH Rates inanipa foreign exchange rates za benki za Tanzania. Kama unafanya biashara kimataifa najua unajua umuhimu wa taarifa kama hiiโ€”kujua thamani ya fedha kunakupa uwezo...
3 Reactions
3 Replies
477 Views
๐Ÿ“Utangulizi Katika dunia ya biashara ya kisasa, bidhaa pekee hazitoshi. Unaweza kuwa na bidhaa bora kuliko kila mtu โ€” lakini kama hakuna anayejua unaiuza, huna tofauti na mtu asiyeuza kabisa...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Siku ya leo tar 20 August, Google wamezindua simu zao za Google Pixel kupitia event yao ya Made by Google 2025. Baadhi ya simu zilizozinduliwa ni Pixel 10, Pixel 10 Pro, Pixel 10 Pro XL, na...
8 Reactions
53 Replies
2K Views
Hydrogen Atom: Schrรถdinger โ€ŽEquation and Quantum Numbers โ€ŽSelection Rules state that: โ€Žโ€œAllowedโ€ transitions between energy levels โ€Žoccur between states whose value of differ by one: โˆ†L= +1 and...
0 Reactions
4 Replies
296 Views
Kawaida kampuni ya Xiaomi huachia flagship mbili mwisho wa mwaka huko China lakini mwaka huu ni tofauti, wataachia flagship tatu Kutakuwa na Xiaomi 16, 16 Pro na 16 Pro Max, yani kama iPhone...
1 Reactions
7 Replies
561 Views
Gb
Nasikia ety Kuna gb Whatsapp iliyohakiwa, na huwa inakuwaga nzuri kweli, yaani haisumbui kama zingine Naomba ufafanuzi tafadhali wakuu, na kama uko nayo nisaidie plzzz
1 Reactions
4 Replies
351 Views
Wadau hamjambo, je nord vpn inaconnect vizuri ukiwa Tanzania au na yenyewe imeblockiwa?
2 Reactions
2 Replies
463 Views
Habari wana jamii forum, ninayo pc ya hp nyeusi, changamoto yake leo nimejaribu kuweka window 10 2019 imegoma kabisa na sitaki kufuta data zangu zilizopo kwenye pc. Naomba mnisaidie.
1 Reactions
3 Replies
298 Views
kitabu gani unahitaji bei 10,000 tsh kimoja, natafsiri kutoka kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 - 10,000 Tsh, inategemea na ukubwa nicheki 0756704145
3 Reactions
17 Replies
930 Views
Unataka kuanzisha biashara lakini huna mtaji mkubwa? Au umekuwa ukitafuta wauzaji wa jumla wenye bei nafuu bila mafanikio? Basi fahamu hili: China ndio mahali pa bidhaa bora kwa bei ya chini...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
How To Install Windows 11 On Unsupported Devices Microsoftโ€™s latest operating system, Windows 11, is now here, and while it comes with a long list of system requirements, itโ€™s feasible to get...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Karibuni. Simu ni android, pixel 5
3 Reactions
9 Replies
754 Views
Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ adi kero
7 Reactions
116 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ