Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hellow it's long time sijawa active humu haswa hili jukwaa la tech..baada ya jukwaa kuvurugika sioni nyuzi zimazohusu Cyber security (hacking,other IT stuffs) Siwaoni akina x0z,rootadmin, Mr...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wadau Hivi naweza kupata Storage yenye ukubwa wa 100Tb kwa shingapi? Je itakuwa ni disk moja au mengi? Je maximum hard disk ni kiasi gani? Je kwa Bongo yanapatikana?
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habar za asubuhi wakuu, kama kicha cha habari hapo juu kinavyojieleza, mara kwa mara nimekuwa nikisoma mabandiko ya watu humu jukwaani yakielezea uzuri na upekee wa simu zilizokuwa rooted na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari ya wikiend wakuu... Naomba kwa mdau mwenye link ya Gb WhatsApp aiweke hapa tafadhali!
1 Reactions
150 Replies
32K Views
Heshima kwenu wakuu Naomba msaada, hivi nawezaje kudownload movie za netflix Yaan nna laptop,nataka nidownload movie kutoka netfl;ix na kulisave file la iyo movie kwenye laptop Hii inawezekana...
1 Reactions
9 Replies
44K Views
Wadau habari za jioni! Niende moja kwa moja kwenye mada husika. PC yangu imepata tatizo la ghafla la kuwaka na kuzima,Yaani kila ninapoiwasha kwenye screen haionyeshi kitu chochote zaidi ya...
1 Reactions
10 Replies
10K Views
Wakuu Mimi fundi madish sasa apa kwa jirani ana dish lake haya ya zamani madish makubwa nlikuwa naomba msaada.kwa anayefahamu frec za itv maana naangaika signal. Sipati kuna watu wameniambia...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
I'm sorry , Nina changamoto kidogo ya kiuchumi. MImi ni web developer, ambaye nimepitia ups & down kadhaa katika maisha yangu. NB: Physically nina shida kidogo kwenye sikio la kushoto hivyo...
0 Reactions
6 Replies
857 Views
Habari, ni Computer program gani inatumika kufanya Video Editing na naomba nielekezwe jinsi ya kuipata. Kama Kuna mtu anayo anisaidie kuipata.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
naombeni ushauri juu ya simu hizi mbili nataka nichukue moja wapo wataalamu
0 Reactions
2 Replies
903 Views
Habari wakuuu Kuna mtu anauwelewa wakubadili apple id kama umesahau password yako nimejaribu wameniambia niwait siku 10 na me niko na vitu vya umuhimu so kama mtu anauwelewa wakuchage apple id kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kupatana ni moja ya apps ambazo nazipitia sanaa kila siku na imenisaidia kuachana na changamoto ndogo ndogo za kiutapeli, ila kwa sababu ni mzoefu hilo nalimudu. WARNING: Kua makini na vitu vya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
waungwana hebu tukumbushane tena zile code jinsi ya kuweza kuzi adapt text kwa mfano kuwa kubwa kubadilisha rangi na kadhalika
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari Kwa muda mrefu , ninashahuku ya kujifunza programming language, ila mpaka sasa sijajua nianze na language Ipi, na jinsi nitajifunza.. Najua humu ndani kuna mafundi wazuri wa haya...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
wadau kuna kijana wangu anaomba kufahamu jinsi ya kujisajili jamii forums maana inamsumbua sana.
1 Reactions
16 Replies
14K Views
Naomba kuuliza! Hivi kati ya used laptop na zile wanaziita refurb zip ni bora?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari? Wakuu msaada tafadhali. Nina vijana (watoto wangu) ambao napenda wajifunze kupiga vyombo vya muziki kama kinanda (keyboard) na Guitar kwa kuanzia. Tafadhali anayemjua mwalimu ama shule...
0 Reactions
32 Replies
10K Views
Mtandao wa Facebook unamilikiwa na kampuni ya Meta Chini ya Mkurugenzi wake Mark Zuckerberg. Umefanya Maboresho kwa kubadili Rangi iliyokuwa ikionekana kwenye Hashtag na Mentions. Hapo awali Mtu...
2 Reactions
4 Replies
818 Views
Unaweza kupata kwa kuwa na "koneksheni" toka kwa anko Unaweza kupata kwa kumpa "chochote" au kuwa "chochote" Unaweze kupata kwa kupambana Kama unataka kupata based on merits, hakuna shortcut...
14 Reactions
19 Replies
3K Views
Hii ni kutoka katika huu Uzi niliouleta siku chache nyuma Unaweza Soma hapa https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1949938/ Kama ilivyo ada huwa siachi Jambo Nililolipanga Baada ya...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…