Ni Program gani inatumika kufanya Video Editing kama kuweka Subtitles nk

Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
2,306
3,550
Habari, ni Computer program gani inatumika kufanya Video Editing na naomba nielekezwe jinsi ya kuipata.

Kama Kuna mtu anayo anisaidie kuipata.
 
Mkuu tumia Aegisub Software ni nzuri afu ni free tu hamna mambo ya monthly subscription.
Aegsub haiburn subtitle kwemye video inatengeneza tu srt file au ass, labda baadae atumie software ya kuburn hilo file kwenye video
 
Aegsub haiburn subtitle kwemye video inatengeneza tu srt file au ass, labda baadae atumie software ya kuburn hilo file kwenye video
Atumie handbrake software, na hii nilijifunza kutoka kwako mkuu ulielezea humu kwenye uzi flani, mpaka jinsi client alivyoridhika kabisa kwa kazi murua uliyomfanyia
 
Atumie handbrake software, na hii nilijifunza kutoka kwako mkuu ulielezea humu kwenye uzi flani, mpaka jinsi client alivyoridhika kabisa kwa kazi murua uliyomfanyia
Yah mkuu uwa nazichoma humo humo 🤣🤣 maana masuala ya kuanza tena kuencode vodeo siyawezi
 
Back
Top Bottom