HahahaCcm mnamatatizo sana.kwani wewe umejisajiri vipi? Kwanini usimuonyeshe wewe ulivyofanya pool ccm
Swissme
Kujiunga JF ni rahisi sana kuliko hata unavyofikiria.Nilipata tabu sana kujiunga JF toka mwka juzi najarbu inagm napga chini (sikua serious kiivo) mwaka huu ndo nimekomaa nayo had imekubali
Kujisajiri ni rahisi sana kuliko unavyofikiria. Fuata ushauri wangu hapo chini utamsaidia huyo ndugu yakowadau kuna kijana wangu anaomba kufahamu jinsi ya kujisajili jamii forums maana inamsumbua sana.
jiwe anamwmbea bashiteUkiona mtu anashindwa hadi kujiunga JF basi hafai hata kuitwa GT, mtu kama huyo hata uchangiaji wake wa hoja sijui unakuwaje
[emoji106]Weka NIGHT MODE ili uone sehem ya log in
Kuna sehemu ya kujisajili pale pale mwanzo badala ya login unaenda registerwadau kuna kijana wangu anaomba kufahamu jinsi ya kujisajili jamii forums maana inamsumbua sana.