Used laptop vs refurbeshed laptop - which is the best?

Fan boy

Member
Joined
Mar 6, 2022
Posts
24
Reaction score
14
Naomba kuuliza! Hivi kati ya used laptop na zile wanaziita refurb zip ni bora?
 
Refurb inaweza kuwa bora ikiwa ni manufacture refurbished tu. Kibongo bongo hakuna.

Kifupi huwezi jua kama ni used ama refurbished kwa maduka yetu. We angalia tu nzuri. Na hao wafanyabiashara pia hawajui wanaongea tu wanachojiskia.
 
Neno
 
Thanks
 
Back
Top Bottom