Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kwa sasa uki 'search' facebook matokeo yanakuja kwa mchanganyiko wa post, picha na video bila mpangilio maalum. Hakuna sehemu ya kuchagua uone post peke yake Hakuna sehemu ya kuchuja posti mpya...
2 Reactions
1 Replies
498 Views
Naomba msaada wa website gani naweza kupata hii patch. Nimeitafuta sana lakini napata ambazo haziko updated.
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Watu wengi hutumia Airplane Mode ili kuepuka kupigiwa simu kwa sababu mbalimbali. Hata hivyo, njia hii huondoa kabisa mtandao wa simu na intaneti, hivyo kushindwa ku-browse. Sasa nakufundisha...
8 Reactions
56 Replies
3K Views
Watu wengi huchukizwa na ratiba za kushtukiza, hutaka kuandaliwa ili wajiandae kuhusu tukio lenyewe.(Mindset) Nafikili na wewe ni miongoni hupendi mtu akuambie latiba ambayo haukuwa nayo kabla...
2 Reactions
6 Replies
912 Views
Kuna siku niliwahi kuandika mada humu kuhusu jinsi Tanzania ilivyo na magenius wengi, lakini hawavumi. Haya, kuna ndege za Skyleader zimetengenezwa na vijana 13 wa Kitanzania kuanzia mwanzo hadi...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Oli otya leero? Watu wengi tunatumia simu katika maisha yetu ya kila siku, kuna watu ambao tunawasiliana nao mara kwa mara lakini wengine hulazimika kutafuta namba zao kwenye contacts au calls...
3 Reactions
0 Replies
451 Views
Yoti ni teknolojia ya kimataifa ya kidijitali ya utambulisho (Digital ID) ambayo inakuwezesha kuthibitisha taarifa zako binafsi kwa njia salama, ya haraka na isiyo na makaratasi. Hapa chini ni...
3 Reactions
3 Replies
565 Views
Habari wadau wa Jamiiforum! Mimi ni tech enthusiast hapa Dar, na leo nataka kushare thoughts zangu kuhusu technologies zinazotawala Tanzania na how they can help you kufind job au improve in your...
1 Reactions
0 Replies
567 Views
Habari za wakati huu wana tekinolojia, nahtaji kuelewa utofauti na ikiwezekana ubora kati ya hizi aina za playstations 4. Ps4 slim,ps4 FAT, ps4 version 9 na ps4 pro, chipped na non chipped...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Niaje!? Eeeh bwana mimi nahitaji hizi game 5. NBA 2K FC mpira RED DEAD REDEMPTION GHOST OF TSUSHIMA GOD OF WAR PS4 yangu haijawa jailbroken! Nipeni muongozo.
1 Reactions
13 Replies
929 Views
Busara zinaendana na enzi... Nyani mzee amekwepa mishale mingi Tujuane wazee waptrick.com, site gani ingine ulikuwa inaitembelea kupitia opera mini?
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Mambo ni mengi mda ni mchache twende kazi
17 Reactions
124 Replies
5K Views
Habari za jioni, naomba kujua nitumie VPN gani ili niweze kutumia network for free?? Mimi natumia laini ya Halotel pamoja yas
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu, Naomba ushauri ni simu gani nzuri(Smartphone) ambayo ni Mid range pamoja na bei yake(Tanzania) kutoka kampuni yoyote kubwa isipokuwa Tecno na Infinix kwa vigezo vifuatavyo...
9 Reactions
198 Replies
16K Views
Aloo wadau wa Jamii Forums! Leo tunavunja mifumo na kuangalia ni kwa nini mifumo ya kompyuta au internet zinapokosa kufanya kazi (system unavailability). Hii kitu inakera sana, iwe ni tovuti...
1 Reactions
3 Replies
418 Views
Wakuu kwema, Natafuta simu Kwa bajeti hiyo, ikizidi sana 250. Simu Gani nzuri? Nilikuwa nawaza hapa kati ya Samsung A03 au Infinix 12i ipi nichukue? Mwl.RCT
2 Reactions
72 Replies
12K Views
Kama bado hujui, dunia ya tech inakimbia faster kuliko mawazo ya wengi. Na moja kati ya game changers ambazo watu wadogo wanazipuuzia ni Cloud Technology ☁️ — - 1. Cloud sio kwa makampuni...
1 Reactions
1 Replies
442 Views
Naamini huenda umewahi kukumbana na changamoto ya kutofautisha dhana mbili muhimu sana katika ulimwengu wa mtandao: domain na hosting. Mara nyingi, watu huchanganya au kushindwa kuzielewa...
1 Reactions
1 Replies
695 Views
Ila Wabongo nyoko zenu🙌🏾🙌🏾🙌🏾 yani sisi huku Mtoni hata cover hatujaziona… Nyie huko mnazo za 500k 😂😂😂
0 Reactions
3 Replies
624 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…