Wakuu nimekuwa mtumiaji wa hii mifumo miwili inayobeba devices nyingi duniani kwa maana ya Ios na Android kwa muda mrefu sasa!
Nilichokuja kugundua hawa jamaa wa ios walitumia akili nyingi sana...
Hapo katika dishi la c band hilo kubwa ni uelekeo wa Azerspsce degree 45 e hapo unapata Clouds tv, Star tv, Channel ten, tv E, Mwangaza na Wasafi tv bila malipo kwa mwezi.
Hilo dishi la kushoto...
Kuna mambo kadhaa katika activities za WhatsApp yanayoweza kufuatiliwa (tracked) hata kama kuna usimbaji fiche wa mwisho-hadi-mwisho (end-to-end encryption), hasa kupitia ukusanyaji wa data-mama...
Kuna mjadala unaendelea kuhusu nani ni Baba wa Fizikia ya Sasa au ya Leo "Father of Modern Physics"
Wengine wanasema Baba (Muasisi) wa Physics ya leo ni Galileo kutokana na kuitoa Dunia kwenye...
Ivii Umewai kujiuliza Internet Shutdown Inavyofanya Kazi
Yaani kujiuliza Kwanini ghafla unakuta WhatsApp, Insta au net nzima Imekata
Internet Shutdowns ni moja ya silaha ya serikali nyingi za...
Wataalam hii inatatulika vipi
Wakuu, nilikua Dubai last week kikazi nikakutana na hii simu nikainunua ambayo ni oppo reno 12
Kipengele inagoma kujisajili whatssap inaniambia "you need official...
Tunauza Generator Spare parts kwa upande wa Engine, Ac alternator(Kinu) and Automation( Automatic Mode).
Kuna plc za Deepsea zpo mpya na Used(Refurb). Model 7320 MKI, 7320MKII, 7420MKII...
Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, huduma za kifedha kupitia simu za mkononi zimekuwa mkombozi mkubwa kwa watu wengi. Applikesheni kama M-Pesa zimeleta urahisi wa kufanya miamala, kulipia...
Kuna hii platform ya kimtandao inayojihusisha na kutoa huduma za kifedha inaitwa SELCOM HUDUMA.
Hawana huduma kwa wateja nzuri, kubwa lililonileta kwenu miamala imekwama kwa muda wa wiki moja...
Tuache Xiaomi na Huawei, hao habari nyingine kabisa. Yaani sio Samsung wala Apple apo atasogeza flagship yake.
Tuongelee hawa wawili, Oppo na Vivo.
Ukiwachukulia poa utasema ni garbage...
🔥 Je, SSD Yako Ina Afya Nzuri? Hivi Ndio Namba Zinavyosema
Wengi hudhani SSD (Solid State Drive) ikishafanya kazi basi haina matatizo—lakini ukweli ni kwamba, kila SSD ina maisha yake. Kila namba...
Je, umewahi kujiuliza programu zinazotumika kwenye simu yako au kompyuta zinafanyaje kazi? Au unatamani kuunda programu zako mwenyewe? Basi kujifunza programu kwa kutumia Java ni njia nzuri ya...
Xiaomi wamekua wakitoa models za Xiaomi (zamani Mi) flagship tokea 2011 walivyotoa Mi 1 hadi 2021 wakaona waziite tu Xiaomi 12 na kuachana Mi.
Sasa mwaka jana walitoa Xiaomi 15 ikiwa na simu nne...
Wakuu habari?
Nataka kupendezesha kasebule kangu, nakosa mdundo mzuri tu sebuleni. Wadau wanashauri ninunue Sound Bar za JBL.
Nimefanya ununuzi wa madirishani kwenye baadhi ya maduka yanazouza...
Kampuni ya kutengeneza 'Videogame' ya Electronic Arts (EA), ikiwemo EA Sports, imeuzwa kwa thamani ya dola za Marekani bilioni 55 na kugeuzwa kuwa kampuni ya binafsi. Wanunuzi hao ni pamoja na...