katika pitapita na mahangaiko kutoka maeneo tofauti tofauti huko mitandandaoni nimepokea malalamiko kadhaa kutoka kw wasomaji wetu kuhusu seebait je ni matapeli au wamefilisika, naam ili inatubidi...
Guys mambo vp,
Ishu iko hivi huwa napenda kurecord mazungumzo ninayoongea kwenye simu automatically kwa matumizi ya baadae, hasa sometime mnakubaliana na mtu jambo fulani unaweza kurecord kama...
Hello watu kazi.
Naombeni msaada nawezaje kufanya group call ya WhatsApp kwa participants zaidi 30? Nina group kubwa la wajasiriamali sometimes tunahitaji kufanya mjadala, tunashindwa kwa sababu...
Habar ITS,
Naomba msaada wa kiufundi kwa yeyote aliyena keys za kureset Printer aina ya Epson Namba L3060 Head Counter tuwasilkane pleas ni very agents
Asanteni
Habari wana JamiiForums,
Leo nimeona niandike kuhusu application za smartphone.
Zifuatazo ni application za smartphone ambazo ninazitumia na zinanisaidia sana;
1.LIBRERA
Hii ni app ya kusomea...
Wakuu salaam!
Nisaidien App nzuri ya sms ambayo ninaweza ku backup sms kwenye drive. Natanguliza shukrani zangu.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Siku chache zilizopita niliwasiliana na hii kampuni ya CONNECT 16 nikihitaji huduma ya internet kwa matumizi ya nyumbani(hasa huku remote areas) na nikapewa maelezo haya kutoka kwa mhusika:
1...
Habari wakuu,
Wakubwa naomba msaada ni laptop gani nzuri inayofaa kwa matumizi ya chuo?
Inategemea unasoma nini na unapenda laptop zenye kukidhi mahitaji gani..
kuna laptop za kiofisi (almost...
Wakuu naomba kueleweshwa kuhusu web hosting, usenet, domain name, database, web traffic analysis na cloud computing hivi vitu jinsi vinavyofanya kazi kuanzia maana, shughuli, uhitaji, uendeshaji...
habari za muda huu wana jamvi hope mko poa, kama nlvotangulia kusema hapo juu naomba mnisaidie kupata ile link ya kurejesha contacts zilzopotea maana nimejitahidi sana kuusaka ule uzi humu lakini...
Wakuu naomba kujua kama kuna namna naweza punguza mwonekano wa ukubwa wa apps.
Yani kama kuna settings nisiyoijua katika kuzipunguza applications zisiwe kubwa,napenda ziwe ndogo
Ukiambiwa uchague moja kati ya hizi kwa matumizi ya nyumbani, utachagua ipi na kwa nini?
1. High Spidi Internet bila kikomo (Fiber) Mwezi mzima.
2. FULL DSTV + AZAM TV + Startimes Mwezi mzima...
Umewahi kujiuliza ni vipi wamiliki wa mtandao wa kijamii wa WhatsApp wanavyopata faida ilhali huduma hiyo inatolewa bure kwa watumiaji?
"Facebook na Instagram ndizo madirisha ya duka ilhali...