Naomba kueleweshwa kuhusu web hosting, usenet, cloud computing, database, web traffic analysis na domain name

Naomba kueleweshwa kuhusu web hosting, usenet, cloud computing, database, web traffic analysis na domain name

AlexProsper

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2022
Posts
3,415
Reaction score
6,285
Wakuu naomba kueleweshwa kuhusu web hosting, usenet, domain name, database, web traffic analysis na cloud computing hivi vitu jinsi vinavyofanya kazi kuanzia maana, shughuli, uhitaji, uendeshaji na biashara mimi sio mtaalamu IT.
 
Watakuja kukujibu zaidi, lakini kwa kuwa tayari unazo keywords, google is your friend my friend.
 
Back
Top Bottom