Application nzuri ya SMS

Application nzuri ya SMS

Wakuu salaam! Nisaidien app nzuri ya sms ambayo ninaweza ku backup sms kwenye drive. Natanguliza shukran zangu

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Mood Messager inamaliza kila kitu, ina backup kwenye Google Drive kabisa ko hata ukibadili vifaa mara nyingi zaidi sms, settings za app yako ziko mahali salama...

Mimi nililipia "Lifetime subscription" ni nzuri na ni customizable katika styles mbali mbali unazotaka ww..
 
Screenshot_20211124-111026.jpg
 
Back
Top Bottom