Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

These are all the tricks known so far ~cheers~ You need a PC or a Laptop and the required connectivity tools ,ie., Serial/USB cable OR Infrared Device OR Bluetooth dongle 1) Activate...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajamvni? leo naombeni msaada kwa jinsi gani naweza kufungua intaneti kwenye laini ya airtel tena haina GPRS/EDGS, nimejaribu kutuma intaneti kwenda 15444 bila jibu.
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Halo Mkuu!! Nimeshindwa kukutumia IMEI ya Huawei kwa njia yoyote ile, including kuku-PM. Nimeona nikutumie kwa njia ya THREAD. Samahani sana. Model: E1550 IMEI: 359124034447644 Tafadhali...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanateke linalo kujia, Hi thread nimepost ili watu wa ICT wamwage sifa zao, wabobea maswala gani katika IT na wametengeza nini. kama programa wajua languages gani na gani na umetengeza nini au...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Pirates have targeted Apple's new software download service just one day after it launched. Several groups claim to have found security flaws in the company's new Mac App Store, which launched on...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Habari ma big supporterz wa JF tecnology and Science naomba yeyote mwenye kujua link ya kudownload calculator kwa ajili ya unlock code ya simu kama vodafone 135, Huawei T158 na nyingine nyingi...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Nimekuwa nasikia kipindi sasa kuwa mfumo wetu wa kurusha matangazo kwa televisheni upo katika mchakato wa kupadilika kutoka analogi tulio nao sasa kwenda mfumo mpya wa digital, mfumo utakaofanya...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakuu, nina pc zangu kadhaa (3 to be specific!) zilikuwa zinashare broadband internet (on a wired LAN), pc ya chumbani nilikuwa natumia kama "server" kugawia net study room na living. Mwanzo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
asante mwaka mwema 2011
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nahitaji kuinstall printer aina ya hp Laserjet 3015 kwenye computer ila nimepoteza CD yake, naomba mnisaidie kuiweka hapa, nimejaribu kudownload nikiinstall inagoma. Thanks in advance.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
pasipo kujua nimejikuta nimefuta/poteza sound driver za computer angu ni HP-COMPAQ PRESARIO C700,,,,Nili i down grade from vista to window xp,,,,,,,,,,,kuna jamaa mmoja aliniwekea sound driver na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hellow members!! I'm after windows 8, how can i get it? or just simply upgrade my windows 7 ultimate to windows 8!!
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Since I first time saw the website, it has been the same 'shit'. Sorry if anyone got offended but somebody got clean up that 'shit'. Au ndo kama majumba ya kale hayabadilishwi?:becky: National...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Picochip has shown off its vision for next-generation femtocells, including picoXcell technology that will allow its customers to create an entire 3G cellular basestation in an ultra-small form...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna jamaa amepoteza logon passward kwenye pc yake yenye os winxp, ameniomba msaada lakinu ukweli sijuwi nianzie wapi, kweni wataalam nielimisheni ili iweze kumsaidia bila ya ku-reinstall window...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilikuwa najaribu kuperuzi taratibu za visa za India zikoje nikatembelea website yao nikafika kwenye page hii: :: High Commission of India - Dar es Salaam Uki-click hapo "VISA" au "Download Visa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wataalam wenzangu, Nimekuwa niki-experience version tofauti za Windows tangu Windows 95 mpaka sasa Windows 7. Kikawaida nikiwa home kwangu, huwa na-disable automatic Windows Update na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa jinsi ya ku run JAVA programs kwenye UBUNTU kwa kutumia JDK tool..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nimesikia tetesi kwenye IT meeting leo kuwa TTCL wametoa package mpya za internet, ambazo wanachaji kwa saa, something like Tshs 1000 kwa saa unlimited downloading. kuna yoyote mwenye habari hii...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari zenu wana jamii forums nimeinstal operating system ya windows xp proffessional but nina tatizo la sauti sababu sina drivers za sauti naomba kwa yeyote mwenye softwares za sauti anitumie...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…