Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nijulishe chuo kinachotoa mafunzo ya mbali kwa ICT,siyo vyuo hivi vya mitaani? Hivi Chuo kikuu OUT wanatoa hii,tujuzane wakuu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Watalaam wangu kuna mtu akiomba kutumia laptop yangu anapenda sana kufungua folder zangu sasa nyingine kuna documents za siri, naomba mwenye software ya kufunga folder[folder lock] anisaidie jamani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naishauri Serikali next time ikitaka kubinafsisha Mashirika ya Umma; kuliko kuwauzia wale wanaowaita Wawekezaji, bora waiuzie Machine ya WATSON. Machine hii inauwezo wa kufanya mambo kwa ufanisi...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
nafahamu uhusiano wa vipimo tofauti mfano uzito(kg,g etc), urefu(km, m,sm etc) lakini naomba kufahamu uhusiano wa vipimo vya memory. gigabyte moja ni sawa na bytes ngapi? vilevile kwa megabyte na...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Wadau ni kampuni au mashirika gani ni leaders na ni mfano katika kutumia teknolojia mbali mbali za ICT Kwa wanaojua tutaje kampmuni au shirika katika kila kigezo ambalo tunadhani liko fit na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naombeni msaada rafiki yangu alikuwa anatumia lappy yangu sijui aliingia wapi maana virus zimevamia hadi anti virus software haifanyi kazi kuzitoa Nimezima broadband connection ila bado...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Waaaaw wanateknohama kuna baadhi ya file ziko katika format ya avi. Nataka niziweke kwenye format itakayozifanya ziweze kuchezeka kwenye DVD player Sasa baada ya ku google nimekutana na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
New Hacking Tools Pose Bigger Threats to Wi-Fi Users iStockphoto By KATE MURPHY You may think the only people capable of snooping on your Internet activity are government intelligence...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hi JF Kuna office mpya tunaanzisha...Mie sio mzuri sana..nahitaji guidence kuhusu ku install Network printer.Tuko na LAN hapa ya internet ambayo kila mtu anaweza plug computer yake to wall...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
How to Force the CPU to Run at Full Speed Via the Registry As you continually install and uninstall programs, components of these programs will stay behind in your computer's registry system...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wandugu, yuko rafiki yangu amenikaribisha(invitation) kutumia drop box ambayo baada ya kukubali mnashare folder. Ndani ya folder hiyo unaweza kuingiza faili lolote hata kama ni wimbo na yeye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani naomba mwenye kufahamu anijuze nini cha kufanya juu ya tatizo la computer yangu kuwa nzito, Computer yenyewe ni DELL laptop, yaani kila nikifungua programme yeyote inakuwa nzito mno wakati...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Hbr! Jamani tafadhalini naomba mwenye kufahamu anifamishe ni namna gani ya kuburn u tube movie/clip(s) kwa maana nabaki kuziangalia kwenye laptop tu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani kama kuna mtu ana software ya Office 2010 naomba anisaidie
0 Reactions
1 Replies
2K Views
whts upp guys.. kuna huyu virus anaitwa win32/bamital.DV trojan,anasumbua ile mbaya kutoka kwenye pc, nimejaribu kutumia combo fix,malware bytes lakini badoo.. ANY MSAADA,ADVICE,anyone ambaye...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Today I want to share with you about one important thing. That is health. Although we feel that we are healthy, it is not always so. In reality, our health is always in danger. A lot of poison...
0 Reactions
1 Replies
831 Views
Salaam wanajamii. Nisaidie wapi nipate mp3 player kwa notebook yangu. Nina window 7. Pia kama nawezapata office 2007 software nitashukuru.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
me tatizo langu dogo tuu, yaan nashindwa kucomment a comment, yaan nikitaka kukoment kwny thread nakuta comment yangu imekaa chini kbs, ila ss nawezaje kucomment a comment? yaan ile labda nina...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanajamvi Tuchambue, tukubushane ,tuulizane tuelimishane behind the scene nmbinu na mechanism gani CPU inazotumia kuhandle job, task na process mbali mbali Kwa nini sometime pc ina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
natumia iPhone, siwezi download nikiingia iTunes, wananitaka niwe na account pamoja na code ya kuniruhusu kudownload, plz msaada on how to register an account na kupata tht access code
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…