mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 759
Naombeni msaada rafiki yangu alikuwa anatumia lappy yangu sijui aliingia wapi maana virus zimevamia hadi anti virus software haifanyi kazi kuzitoa
Nimezima broadband connection ila bado nilikuwa napata napata warnings eti kuna isnake, trojan, etc nimeogopa isizidi ingilia maana kuna infetions sehemu 39 imenizuia kudownload kila kitu na pia hata adobe flash player imeingiliwa hiyo ndio ilinifanya nijue kuna tatizo as pages nilizovisit zilikuwa blank
Nisaidieni nifanyaje kuondoa haya
Shukurani