Jinsi gani cpu inafanya kazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi gani cpu inafanya kazi?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Feb 18, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi Tuchambue, tukubushane ,tuulizane tuelimishane behind the scene nmbinu na mechanism gani CPU inazotumia kuhandle job, task na process mbali mbali


  • Kwa nini sometime pc ina hang PC hangs? . DEADLOCK.
  Deadlock - Wikipedia, the free encyclopedia inaeleza ni kwa nini deadlock inatokea na ni vipi CPU zinajaribu kuzuzia. Mara nyingi ikitokea deadlock inabidi prcess zote zisimashiwe


  • Je ni kweli CPU inaweza ku process task zaidi ya moja katika muda fulani . No


  • Sasa Ni vipi CPU inaweza kugawa muda kwa process mbali mbali ili ionekane kana kwamba CPU ni multitasking.-Process Management/ CPU process Management. Soma HowStuffWorks "Processor Management" - article hiii inaeleza jinsi cpu inavyogawa muda kwa process mbali mbali na hiyo kwa mtu kudhani CPU ina uwezo wa kuprocess kazi zaidi ya moja katika muda fulni kumbe sio kweli . Hapa unaweza kusoma pia mambo ya interrupts

  kwa maelezo meginemazurikupata picha halisi soma BinarySoldier.net - The Interrupt Handling Mechanism.. Hapa wanaelezea interrupt handling mechanism inayowezesha task moja kuwa interrupted ili process nyingine ipewe time ya ku eecute

  Na hapa Scheduling (computing) - Wikipedia, the free encyclopedia wanaeleza scheduler na dispatcher. Am bazo ni kitu muhimu katika CPU process prioritisation.- Yaani process gani cpu iiipe upendeleo kuliko nyingine .


  • Hatua zipi CPU process inapitia mpaka kukamilika?.- 1.FETCH 2.DECODE 3.ISSUE/SCHDULE 4.EXECUTE 5.RETIRE- 6.WRITE BACK
  PCGuide - Ref - Instruction Execution Process
  Hapa wanaeleza stages mbalimbali process inapitia kuazia mwanzo mpaka inakuwa executed.

  NB
  Tukumbuke mambo haya yote yanafanyika katika spee yad milisecond ndio maana sio rahisi kwa binadamu kugundua kuwa sababu sisi tunaona kama uki click tu kitu kinakuwa executed but that is wht is happening behind the scene

  Kwa wale wenye kiu ya kujua zaidi wanweza ku google maneno niliyobold ambayo ni keyword za kijua CPU kiundani ili wapate detail zaidi.

  Nawasilisha kwa kurekebisha, kuongeza, kukosoa na kuuliza
   
Loading...