Help me with mp3 player software | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Help me with mp3 player software

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KasomaJr, Feb 17, 2011.

 1. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Salaam wanajamii. Nisaidie wapi nipate mp3 player kwa notebook yangu. Nina window 7. Pia kama nawezapata office 2007 software nitashukuru.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  win media player ina tabu gani?
   
 3. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
 4. T

  Taso JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,652
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Hebu ka google huko, hatuendekezi u lousy na uvivu wa utafiti enzi hizi za mapinduzi ya habari
   
 5. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hebu ka google huko, hatuendekezi u lousy na uvivu wa utafiti enzi hizi za mapinduzi ya habari
  TEH TEH TEH!!!!!!!!!!
   
 6. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mkuu kama huna jibu ni better kukaa kimya sio wote wanaijuwa net kama unavyojuwa wewe.....so tujaribu kushauriana kwa kila jambo hii ni sehemu ya kusaidiana na ndio maisha yanavyokwenda....
   
 7. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  My friends, thanks for all support u have given me and for all comments u have made....but as Papizo said, its not true kwamba kila mtu yupo vizuri sana kwenye haya mambo, although kwangu mimi sivyo kama mnavyodhani Hinx6 na Taso, i have been using internet for more than 13 years now, i know alot of programs, i know how to find them, najua search engine nyingi sana na huenda mambazo hamfahamu, najua pirates webs pia, so don't just take simple and bring jokes, simple answers like that. Anyway i still thank you all for support.
   
 8. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Dah kumbe maswal yako ulikuwa unataka kuwachora tu watu.

  Experince ya intenet unayo
  Knowledge unayo
  Where to find what unajua pia

  Kwa maelezo yako ya juu hayaendani na maswali haya
   
 9. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Zig nashukuru sana mkuu kwa comments zako, nimezama huko lakini haikuwa imekaa vizuri mkuu....., VLC ninayo na zingine, nimejaribu kudownload MP3 nilichopata kimegoma ku play video badala yake nasikia sauti tu.....kuhusu Office 2007, pirates web zangu possible zipo weak ku hack, that is the point to ask for more support. Bila shaka umenipata mkubwa.
   
 10. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Sasa mkuu unataka player inayosupport codec gani au unataka kuplay media yenye format gani i.e.avi,mpg....Halafu MP3 imetengenezwa kuplay audio sasa sijui wewe ulitakaje?
  Hapo kwenye red sijakuelewa labda unifafanulie please.
   
 11. P

  Paul S.S Verified User

  #11
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu MP3 si inaplay audio pekee au?.
  Mkuu kama kweli wewe ni mzoefu wa internet kama ulivyojieleza kwa maoni yangu naona kama hukupaswa kuuliza swali hili kwa jinsi hiyo, walau ungedadafua kidogo unaipi,inagoma nini au ulijaribu ipi ikawaje au unataka inayoconvert na kuplay format ipi nk u know what i mean.
  Realplayer is best for me, inaplay audio/video za format mbali mbali bahati mbaya sina link yake, microsoft office hata mimi naivizia hapa, hope utapata msaada kwa wadau
   
 12. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Microsoft Office 2007 Home and Student Edition (New keys + Activation) | 314 MB
  http://tinyurl.com/6ghrvov
   
 13. T

  Taso JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,652
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Oh yeah? Lakini ukashindwa kuipata hii ya MP3 Player? Au unapenda kufanyiwa kila kitu na wenzio? Ni hatari.

  "don't take simple" ndio nini?
   
 14. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Dah mkuu umevuruga watu humu kwa majigamo yako.....kuwa umetumia kwa 13yrs kwa hilo tu ungeshakuwa umepata solution zamani.Kama ume download MP3 imegoma ku play...kuna program moja naona kwangu hata zile video ngumu kwake ina play inaitwa mpstar..google..udownload na ni free...uta play kila kitu.
   
 15. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #15
  Feb 18, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  teh teh teh!
   
 16. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  unaweza kuliweka hilo file hapa lililogoma kucheza kwenye VLC . Au tuambie ni file la wimbo gani? Na uisema unashindwa ku hack pirate webs una maanisha nini ?

  nadhani unatatizo lingine tofauti kabisa na unachouliza. Kwa experince yangu ya support sometime user anaweza kukuambia tatizo kumbe lile tatizo analojaribu kukufafanulia sio tatizo halisi alilonalo.

  kamaa alivyosema mdau mmoja mp3 ni file la audi na sio video . So usitegemeee kuona video kwenye file lenye extension ya mp3. ikitokea ukaona video utakuwa ni muujiza.
  Kuhusu Ms office 2007 nenda hapaMS Office 2007 Enterprise (Activated And Tested!) (download torrent) - TPBDownload hiyo. Assmption nikuwa kwenye pc yako unayo dowload manager kama biittorent au vuze ya kukuwezesha kulipakua hilo file. Kama huna basi kwanza download bittorent ni frree uki google uitaipata.  .
   
 17. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mtazamaji nakushukuru sana, umeeleza ukweli mkuu......."upo sahihi kabisa"
   
 18. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  That is gentlemen way of being...kumbe tatizo ni jingine..
   
 19. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mtanzamaji thanks again we ni mkuu kwa msaada..ntakucheck kwa PM kuna swala jingine tena linanitatiza..hili kwa kweli sina ufahamu nalo ntaliweka hapa tuone tutasaidianaje.Check post yako ya convertion..ya files..nimekujibu kwa msaada.
   
Loading...