Faida na Hasara za Dropbox 1.0.20 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida na Hasara za Dropbox 1.0.20

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Future Bishop, Feb 19, 2011.

 1. F

  Future Bishop Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 75
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wandugu, yuko rafiki yangu amenikaribisha(invitation) kutumia drop box ambayo baada ya kukubali mnashare folder. Ndani ya folder hiyo unaweza kuingiza faili lolote hata kama ni wimbo na yeye anaweza kuweka faili lolote.

  Kwa haraka nimeona inarahisha kwani badala ya kutuma email na attachment (na wakati mwingine faili likiwa kubwa linashindwa kwenda kwa haraka) unacopy file lako unaweka ndani ya drop box na automatically mwenzako anaweza kuliona file hilo kama wote mnatumia internet.

  Faida nyingine nimeona ni kuwa sihitaji sasa kutembea na flash disk kwani kama faili zangu ziko ndani ya drop box nikienda kokote kwenye internet naweza kuzipata.

  Unaweza kudownload na ukaanza kutumia drop box hata wewe kwani ni free.


  Hata hivyo sijajua hasara zake na ningependa nisikie kwa ambao wameshaitumia nini shortfalls zake kwani nasita kuweka mafile sensitive isije kuwa kila mtu anaweza kuaccess hayo mafaili.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mimi binafsi natumia Googledocs. back up za file zangu muhimu ziko iko. Kwangu naona nisafe kabisa kulikohata USB.

  Zaidi ya hiyo njia watakaopenda pia wanweza kujaribu kucheki googledocs. inaruhusu pia sharing
  tembelea Google Docs
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  how about security of your docs? if ur counterpart needs to add another friend in the box will he /she need ur permission to get the access or?
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Regarding google docs kama ni pirvate docs basi huna haja ya kushare na kumpa mtu acess ya hiyo docs kwa hiyo inakuwa ni wewe tu. Kuhusu hii drpbox ngoja may be kuna watu wameshatumia. nitaijaribu kucheki features zake siku za mbele
   
Loading...