Avi to dvd coverter | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Avi to dvd coverter

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Feb 18, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Waaaaw wanateknohama

  kuna baadhi ya file ziko katika format ya avi. Nataka niziweke kwenye format itakayozifanya ziweze kuchezeka kwenye DVD player

  Sasa baada ya ku google nimekutana na misamiati kibao kwa hiyo nahitaji ushauri wenu kwa wajuvi

  • Ni software gani nzuri kwa ajili ya kufanya conversion za kutoka avi kwenda VOB au format yeyote ile inayoweza kuchezeka kwenye DVD player

  • Niformat zingine zaidi ya VOB zinazoweza kuchezeka kwenye DVD player. eg MPEG2

  • Kuna software moja nimejaribu kutumia trial version ikaniuliza nichague picture/video standar kati ya NTSC na PAL. Sasa kwa Natakiwa kuchagua ipi na tofauti ni nini?

  • Vile vile nikauliza nichague size ya video . Sasa kwa nikitaka video inekna bila black sreen juu na chini natakuwa kuchgua size gani yaani pixel.

  • Na mwisho hii misaimiati ( DivX na XviD) nimektana nayo sana wakati nasoma soma haya mambo ya DVD player kama kuna anayeweza kunipa mwanga anielimishe anipe link yenye maelezo mazuri
  nawasilisha
   
 2. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145

  Mkuu total video conveter...inafanya mambo haya yote..kuna thread humu invisible aliwek kitambo kama mwaka ina link ya software hii kwa ajiri yako...hili swala la miziki movie kwenda kwenye format ingine mie nilishaona kama sasa kwangu hakuna nisicho weza angalia kabisa...chochote kila....
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Thank you Kwa kunitajia tu jina nitajua wapi pa kuipata.

  But nikiangalia kwenye review naona hiyo total video converter haifanyi conversion ya kwenda kwenye VOB. wich other format ambayo nikitumia basi na kuliburn file kwenye DVD basi litacheza kwenye DVD player bila mushkeri.
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Na je nikitengeneza DV nikata niifanyie pritection isiwe copied nifanyeje?

  • Najua hakuna njiia inyoweza kuzia DVD isiwe copied hata 80% but nataka kujua kama zipo njia za kuweza ku protetc DVD japo kwa 50%. yaani mtu akitaka kucopy inamkatisha tamaa na kuumpa ujumbe kuwa DVD iko protected.
   
 5. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  google how to put DRM in Dvds!
   
 6. D

  DOCTORMO Member

  #6
  Feb 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unataka vyawatu for free vyakwako unataka kuprotect? kama ni hivyo toa ela kupata software hizo tunazo.
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hinx6 Thank you nimefanya preliminary serach gogle before asking . I just i wanted to know kama kuna member ameshawai fanya practically njia yeyote ile . list ya mechanism niliyopata kwenyepriliminary search yangu ni hii hapa How to copy protect a CD or DVD

  Kuhusu DRM kwa kazi nayotaka nona haitakuwa ni solution sahihi sababu DRM ina tie medium (DVD) kwenye specific hardware. Yaani ukicheza DVD kwenye laptop basi huwezi tena kuicheza sehemu nyingine hata kwenye DVD player yako ghetto.

  Kama nilvouliza software ya ku convert ninazo list hapa nimetumia moja imetumia about six hrs kutengenza DVD moja . hiyo aliyonipa jamaa kwenye llisti naonyesha haifanyi conversion kwenda kwenye VOB. fomat
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  vipi hivyo vya watu nilivyotaka freee ? tehteh teh teh
  shilingi ngapi unataka nipe jina lako na aaccout yako ya benki mkuu


  Sio lazima kazi nayofanya lazima niiprotect but itakuwa manufaa kwangu nikijua jua skilss mpya fulani ya IT kila siku. Au wewe unasemaje????? We must use Internet kupata knowelege mpya every single day.
   
 9. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #9
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Ebu gonga hapa kupata Total video convetor ambapo hapo utabadalisha format utakayo na unaweza kupata elimu zaidi hapo
   
 10. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #10
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Hapo kwenye Blue sijaelewa,DV unaamanisha nini ,unaongelea tape nini,hujaeleweka
  Kwenye red unaweza kupata free software za kazi hiyo lakini kuna pia free software za kuweza kucopy cd/dvd zilizo protected hivyo ni jukumu lako

  kupata Free Software ya kuprotect jaribu hapa, lakini ina 92 MB ukishindwa sema
  Byabato
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Total video converter haifannyi conversion za kwenda kwenye VOB au mimi sijaelewa malezoyao haya hapa
  Ile DV nilimaanish DVD lakini hiyo link iliyonipa nia ya kuprotect file from acess. mimi nataka kujua software bora ya copy prtection kwa ajili ya CD na DVD. Hinkx kanishauri DRM but kwangu si sahihi

  But thanks for you effort . nataka kujifunza tu kazi nayofanya sio lazima niifanyie protection
   
 12. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nenda filehippo.com then download Anyvideo converter!
   
Loading...