What is TX RX?
tx rx is type of connection which will help to you to connect your phone with pc for software operation. its just a type of connection name.
what is cpu?
Central...
Wakuu kuna hii site www.giveawayoftheday.com
inayotoa free software moja kila siku, mi niliijua kupitia hapa jf. Nashauri hii post iwe maalum (special thread) kama ile ya arsenal/chelsea etc. Tuwe...
Nimepata sms kutoka Tigo wakinitaka ninunue kifurushi cha wiki kwa shilingi 4500, lakini sijui wanatoa bundle ya MB ngapi, pia kwa anaefahamu vizuri tarrif za internet ya tigo na MB wanazotoa...
new iPad 2 as being lunch today for 2011
Apple chairman Steve Jobs waves to his audience after he unveiled the iPad2
Apple boss Steve Jobs has returned from indefinite...
zile rumors za kuhusu ni lini iPad 2 inatoka sasa nadhani zinaenda kuwa za kweli. Wameshatoa baadhi ya picha za iPad 2 na muda si mrefu itakuwa ipo sokoni tayari...
Kwanza napenda kushukulu kwa watu kuni omba niludi kwenye jf nilikasilishwa na majungu ambayo si ya msingi.
0712484995
step za kufanya
si kila dish kama lina shika ila kama una lnb kubwa ambayo...
Kuna bosi hapa sasa kazidi, kwani ana tabia ya kufunga simu ya mezani (ttcl land line) kisa eti tusipige. Naye utumia pin kufungulia . Je kuna mtu mwenye master key ili atusaidie ?
Site Profile
Estimated Value: $102,120.06 USD
Estimated Revenue: $138.97 USD per day
$4,169.24 USD per month
$50,725.74 USD per year
Estimated Pageviews: 61,375 per day
1,841,255 per...
Nasikia AC za split unit ni energy saver kuliko ile aina nyingine ya split unit. Wengine wanasema Window type ni durable kuliko split units. Je zinaweza kulinganishwaje in terms of power...
Dutch Students Create Worlds Largest Multi-Touch Screen
Dutch Students Create Worlds Largest Multi-Touch Screen
Students at the University of Groningen created an enormous Multi-Touch...
Wakubwa nataka kutumia laptop isiyo na option ya fire wire pin kwa ajili ya ku-capture video direct kutoka kwenye video camera to Laptop .
Je naweza kufanyaje kwa sababu hakuna (nadhani)...
Naomba msaada kwa yoyote anayejua na ambaye ameshawahi ku-upgrade LG GW 305/300 au aina yoyote ya LG mobile inakuwa ni vipi caz nmejaribu ila mara nyingi inakataa. Kama unajua please nisaidie.
wakuu baada ya kukomaa kwa mda nimefanikiwa kuiponya dv9000 lile tatizo la kuwaka blue light now ipo safi inafanya kazi kama kawa nimeona nirejeshe feedback kama nilivyoahidi hapa jamvini
Likitokea kosa kwenye diesel Engine Machine Kimakosa ukaweka Petrol ina maana hiyo machine itakuwa imekufa ama kuna namna unaweza rekebisha?
I stupidly put petrol in my 10 KVA silent Diesel...
Jana nimepokea mesage hii ambayo ilinishangaza sana,
"Your Vodacom Buddy transaction REF:XXXXXXXXXXXXXX has been completed"
Cha ajabu zaidi, nilipoangalia salio nikakuta 79,000/= kama...