Giveaway of the Day (sadaka ya kila siku)

Baba Mtu

JF-Expert Member
Aug 28, 2008
870
168
Wakuu kuna hii site www.giveawayoftheday.com
inayotoa free software moja kila siku, mi niliijua kupitia hapa jf. Nashauri hii post iwe maalum (special thread) kama ile ya arsenal/chelsea etc. Tuwe tunaweka software inayotolewa kila siku.
Mie naweka hii AllMedia Grabber 5.1, kesho nawe ukiwahi tembelea hapa na utambie kuna nini give away
 
hao wanatoa sftwr moja tu wakat nkiemda fillehippo au torrent sites yoyote najipatia masoftware ya kumwaga!!!!!! I dont c anything special!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom