Diesel Engine

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Likitokea kosa kwenye diesel Engine Machine Kimakosa ukaweka Petrol ina maana hiyo machine itakuwa imekufa ama kuna namna unaweza rekebisha?

I stupidly put petrol in my 10 KVA silent Diesel Generator.....naogopa hata kuliwasha.

Ushauri
 
usiiwashe, wasiliana na mtaalamu wa diesel engine aisafishe engine ya hiyo generator ili kuondoa petrol yote iliyoingia ndani
 
Pole sana mkuu ila hilo sio jambo la kutisha kihivyo, kwanza kabisa usiliwashe hilo jenereta, tafuta fundi mzuri amwage mafuta yote na asafishe tanki. Kisha afanye pia quick check ya pump na diesel filter. Baada ya hapo liwashe tu, litapiga mzigo kama kawa.
 
Thanks wakuu! Nimekuwa na wasi wasi sana ukizingatia mafundi wetu wengi ni wachakachuaji, nimeishaambiwa ninunue filter na pump mpya.

Nawashukuru walau niko na amani.
 
Mkuu huyo fundi gani anaekwambia unnue pampu na filltar mpya Dieasal haina tabu. na madam hukuliwasha hata kama uliwasha haliwezi kuleta tabu nikutoa petroli iliyomo kwenye tanki nakuweka dizeli haihitaji kusafisha hiyo kazi unaweza kufanya mwenyewe haihitaji fundi mkuu, mashine ya petroli ukitia dieasel ndio itahitaji kusafishwa kwakuwa kwakuwa diesel ni nzito au mafta ya taa. lakini mashine ya dieasel haina shida petrol ni nyepesi sana haitazuru kitu mkuu wala usinunue pampu. na filltar isafishe tu
 
ilikuwaje ukakosea mzee ulikua maji??natania bwana!!tafuta fundi asafishe then akishamwaga petroli yote ndipo uliwashe baada ya hapo!
 
Yote hii sababu ya Nyerere na mashirika yake ya umma, Tanesco, isingekuwa yeye yasinge-kukuta hayo!

Nadhani shida ni Mgawo wa DOWANS na mmiliki wake ninamjua! Kikwete aliyesema hamjui Brg Alli Hadaiwi
 
Mkuu huyo fundi gani anaekwambia unnue pampu na filltar mpya Dieasal haina tabu. na madam hukuliwasha hata kama uliwasha haliwezi kuleta tabu nikutoa petroli iliyomo kwenye tanki nakuweka dizeli haihitaji kusafisha hiyo kazi unaweza kufanya mwenyewe haihitaji fundi mkuu, mashine ya petroli ukitia dieasel ndio itahitaji kusafishwa kwakuwa kwakuwa diesel ni nzito au mafta ya taa. lakini mashine ya dieasel haina shida petrol ni nyepesi sana haitazuru kitu mkuu wala usinunue pampu. na filltar isafishe tu

Thanks buddy!
 
Nadhani shida ni Mgawo wa DOWANS na mmiliki wake ninamjua! Kikwete aliyesema hamjui Brg Alli Hadaiwi

Dowans hawajaleta mgao hapa, Dowans walikuja kutatua mgao. Be realistic. Adawi kakosa nini wakati mitambo iko pale Ubungo? wacha! kuwa na ukweli katika dhamira zako. Kukosa ukweli mpaka mind imezowea kujidanganya mnatia petroli sehemu ya kuwekwa diesel.

Jinsi tulivyokuwa na akili finyu, mitambo ipo uwani, tunashindwa kuitumia, kwa upumbavu wetu tu, mwisho wa siku tunadaiwa halafu tunalaumu.

Dowans na Adawi tungewajuwa Nyerere asingeteketeza uchumi wetu? Na angewacha mashirika yawe binafsi toka enzi zake? Nyerere mwenyewe kakubali kuwa alifanya makosa, halafu nyinyi mnakataa hata aliyokubali mwenyewe. Mnashangaza sana!
 
Dowans hawajaleta mgao hapa, Dowans walikuja kutatua mgao. Be realistic. Adawi kakosa nini wakati mitambo iko pale Ubungo? wacha! kuwa na ukweli katika dhamira zako. Kukosa ukweli mpaka mind imezowea kujidanganya mnatia petroli sehemu ya kuwekwa diesel.

Jinsi tulivyokuwa na akili finyu, mitambo ipo uwani, tunashindwa kuitumia, kwa upumbavu wetu tu, mwisho wa siku tunadaiwa halafu tunalaumu. Dowans na Adawi tungewajuwa Nyerere asingeteketeza uchumi wetu? Na angewacha mashirika yawe binafsi toka enzi zake? Nyerere mwenyewe kakubali kuwa alifanya makosa, halafu nyinyi mnakataa hata aliyokubali mwenyewe. Mnashangaza sana!

This is crap! Huna tofauti na Shekhe Mustafa Shaban wa DODOMA! Sorry mate
 
Back
Top Bottom