Natafuta Huawei

Yoso

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
340
239
Wakuu natafuta Huawei smartphone QWETZ key yeyote anayefahamu inakouzwa anielekeze na iwe na mfumo wa GSM na sio CDMA
 
Mkuu unatafuta hii kitu?
u8300.jpg
U8300

Aimed at the youth market, it incorporates popular social networking tools such as Facebook and Twitter, a Qwerty keypad, and is ergonomically designed to ensure that hours of chatting online can be done in comfort. The U8300 is available in three bright colors: green, yellow and purple.

Figure 2 Huawei's U8300 Android smartphone.





Jaribu kuulizia kwenye maduka makubwa ya simu mjini unaweza kupata,au unamtafuta mtu aliyeko nje akununulie. Aisee ni simu nzuri sana nimejaribu kucheck specificatins zake nimeikubali but sijavutiwa na muundo wake. check hapa Huawei U8300 - Full phone specifications
 
Mkuu mimi nauliza kama hapa bongo kuna dealers wa Huawei ukiondoa sasatel ambao wanauza Huawei CDMA phone.







Jaribu kuulizia kwenye maduka makubwa ya simu mjini unaweza kupata,au unamtafuta mtu aliyeko nje akununulie. Aisee ni simu nzuri sana nimejaribu kucheck specificatins zake nimeikubali but sijavutiwa na muundo wake. check hapa Huawei U8300 - Full phone specifications[/QUOTE]
 
ngoja nicheki na jamaa yangu yupo huawei hapa wanasaply sana cm na modem zao
 
kwa hapa bongo sijui kama kutakua na dealer wa Huawei but jaribu kupita kwa trusted dealers wowote kama utapata ila kama itakuwa ngumu basi kubaliana nao wafanye mchakato wa kuiagiza nje.
 
kwa hapa bongo sijui kama kutakua na dealer wa Huawei but jaribu kupita kwa trusted dealers wowote kama utapata ila kama itakuwa ngumu basi kubaliana nao wafanye mchakato wa kuiagiza nje.

mkuu dealer yupo wa huawei sema wanaweza wakawa awana icho unachoitaji ila ukiongea nao wanaweza kukuagizia
 
@drphone: ndiyo mkuu najua wanaweza wakaagiza ndo maana nkampa option ya kuongea nao ili wamuagizie. Ila me nashauri bora atafute ambayo ina hata OS ya Android Froyo na kama atapata ya Gingerbread itakuwa ndiyo nzuri zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom