Mrejesho wa laptop yangu hp pavilion dv9000

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
wakuu baada ya kukomaa kwa mda nimefanikiwa kuiponya dv9000 lile tatizo la kuwaka blue light now ipo safi inafanya kazi kama kawa nimeona nirejeshe feedback kama nilivyoahidi hapa jamvini
 
Hongera mkuu..
Ila ujatuambia uligundua tatizo ni kitu gani na ulitumia njia ipi kulitatua hilo tatizo...

Hii itatusaidia na sisi tulio kushauri na kujua tatizo lilipokuwa.
 
Back
Top Bottom