Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Laptop Buying Guide: Making Sense of the Specifications Shopping for a laptop, but unsure about the features you need? Here are the most important laptop specs to consider. By Jason Cross...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bilashaka leo upo happy, pole kama hauna furaha.. Wakuu mimi natumia samsung sgh u900 ina matatizo mawili makubwa 1) mtu akinipigia simu nikaikata bila kuipokea simu inakata alafu inaniandikia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ya saizi wana JF,minaombeni msaada kama kuna mtu ambaye anajua jinsi ya ku hack password protected excel file,yani nikwamba kuna files nataka kufungua,ni za excel lakini nashindwa kuona...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta universal box.mwenye nayo aniambie anauza shiling ngapi.Nimeweka hapa hii mada sababu wataalam wengi wenye kujua haya mambo wanapita hapa.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari JF, Pliz nisaidieni. Nime-format PC yangu majuzi. iliiingia virus kibao nikashindwa kuwatoa wote ikawa ina-behave kiajabu ajabu so nikaamua kui-format. Baada ya kuhangaika sana ku-format...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wataalamu wenzangu...kila nikijaribu kidownload kutoka hii link inagoma please naomba mnijaribie halafu mniambie inaleta msg gani, nashindwa kuelewa kama ni server yangu inazuia au file lipo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sidhani kama kuna Haja ya kubishana kwamba hi website ni nzuri au mbaya!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ninaomba mnisaidie namna ya kutatua tatizo kila nikiunga Modem yangu kwenye computer yangu inaleta msg km inavyoonekana kwenye picha. Asanteni sana wadau.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi! JF members, nikifungua e mail adress yangu inanitaka kuupgrade yahoo mail yangu. What that? and how to upgrade? na inahitaji explorer 7 how can i know my explorer is 7, 8, or 9? help please
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani wakuu this is really killing me, and my reputation around coleagues. Kuanzia kama miezi 7 iliyopita imekuwa kwamba anytime I use tech devices kama simu( mainly WAP), internet na computer...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Siyo kwamba nimeisahau bali ninaitumia kila siku na ina hata hint lakini inagoma kabisa kwa sasa na humo kuna mambo muhimu sana Hapa solution ni nini? nitashukuru
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hallo wana Jamii leo asubuhi nawasha laptop yangu, ikawa inatoa mlio na baadhi ya keys zikawa hazifanyi kazi nimeifungua na kuisafisha na kuifunga tena lakini tatizo bado linajirudia... ninaomba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Top 15 Terminal Commands for Hidden Mac OS X Settings Update: This article is very old. Most of the Terminal Commands still work, but consider checking out our top Terminal commands for Leopard...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninayo hii kwa sasa... watakaoihitaji twaweza kusaidiana. See what's new in AutoCAD 2012: Download the brochure - http://images.autodesk.com/adsk/files/autocad_2012_product_brochure_en.pdf...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Nina computer desktop kwa miaka minne sasa ila sasa imeanza tabia ya kujizima baada yakuwa nimeiwasha, nikahisi ni uchafu tu ila nilipoifungua na kuishafisha ndani nikaitest kuwasha tena ikawaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kufirisika kampuni ya g-tv watu walishindwa kuvitumia tena vyombo hivyo chizi computer ukitaka kutoa lock ya g-tv ili upate chanell ambazo una zi control we mwenyewe password ni hii...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
naombeni msaada kutatua hili tatizo. Huwa natumia huawei e1550 in win7 ultimate kwa muda mrefu, lakini ghafla ika-disconnect. Niki-connect in display hiyo error. Nifanyeje?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jaman jaman,hv been taking my time kufwatilia hilo swala. Am using Nokia 5800 xpress music. Fwatisha maelezo ya fuatayo kwa makini sana. 1. Ikia kwny link hii...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
May 30, 2011 THE African Network Information Centre (AfriNIC) is to hold its 14th bi-annual meeting from June 4 to 10 in Dar es Salaam, Tanzania with this year’s main themes being IPv6 deployment...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau wa techn naomba mwenye key ya vuze plus aniwekee hapa natanguliza shukrani
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…