Hellow wanajamii wenzangu wataalamu!!
Tatizo langu ni Umeme wa tanesco kuwa mdogo, nadhani ni eneo zima ninaloishi so hii inanipashida sana kwa vifaa vyangu vya umeme.
Nina flat tv 32 inch...
Kutokana na usumbufu nliokuwa naupata wa kuungaunga downloads,nikaamua kufanyia ka research hii kitu ya kukosa 3g signals ukienda mbali na mjini tu.
Najua inawakera wengi but before we go...
Could be useful for beginners in Tech....
Product Specifications:
Takes the ordinary keyboard and gives you three different ways to use it, making it great for one or two finger typists
Press...
Wakuu, niliona software flani sehem, sadly i lost the link!
software hiyo inawezesha kumpigia mtu bure (gharama kidogo ya data) kupitia simu yako ya mkononi. Mwenye ujuzi na hi kitu anifahamishe...
Kesho twategemea kuoneshwa icloud services tetesi zinasema yaenda sambamba na itunes na twaweza kupakia vitu hewani kama apps na muziki bila kuchomeka na USb. Hiyo itakuwa kivution, halafu nazani...
No offence ndugu,nimejiunga juzijuzi tu hapa ili na mimi nimwage sumu zangu kama ifuatavyo...wengi mnaijua hii njia na wengi hamuijui.
Mahitaji:
1.Mozilla firefox browser
Firefox web...
Katika vitu ambavyo vimeshika vichwa vya habari za TEHAMA wiki hii ni pamoja na kuzinduliwa kwa iCloud -- huduma ya cloud computing kutoka Apple.
Najaribu kufikiri ni kwa namna gani nchi zetu za...
haya soon
we will b having solar laptops!!!!hahahah,,
imagine world free from tanesco kero for users watakaotumia this kind of laptop
The worlds of computers and the environment usually do not...
wakuu,
nimepata software ya kurekodi maongezi yote ninayofanya na marafiki zangu automatically ila ni 14 dayz trial,naomba kama kuna mtu ana activation...
Umekuwa ukihangaika na baadhi ya torrents kuwa slow kutokana na idadi ya seeders na leechers?
tumia website hii kusearch for full downloads of stuffs:
www.filecrop.com
uncheck rapidshare...
Habari ndugu wana JF.. Ninafanya project kwa kutumia C sharp.. Nilikua nafungua hiyo Visual studio na nikapata error message kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu.. Nilishindwa kufungua project...
Kiswahili speakers can now use Microsoft windows 7 in their language thanks to Windows 7 Kiswahili interface pack launched this week in Dar es Salaam.The Windows 7 users may switch anytime to any...
Scientist at CERN have managed to trap anti hydrogen particles for little less than 16 min ,long enough to enable scientist to study its properties (emission spectrum /CPT for instance).such study...
Hey najua wengi mpo bize na siasa za Mbowe...!! Nisaidieni hapa:
Nina dual boot(XP na MINT-JULIA) sasa hard disk moja nikilog kwenye windows haionekani,wakati nyingine zote zinaonekana na zote ni...
Microsoft kupitia msimamizi wake wa kitengo cha Windows, leo mchana wamezindua rasmi (at least kwa kuiongelea kidogo) OS yake mpya kabisa ya WINDOWS 8.
Officially WINDOWS EI8GHT itaachiliwa...