Wale apple funboys and girls kesho WWDC wataka nini kiletwe sokoni…. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wale apple funboys and girls kesho WWDC wataka nini kiletwe sokoni….

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by i411, Jun 6, 2011.

 1. i411

  i411 JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Kesho twategemea kuoneshwa icloud services tetesi zinasema yaenda sambamba na itunes na twaweza kupakia vitu hewani kama apps na muziki bila kuchomeka na USb. Hiyo itakuwa kivution, halafu nazani wataonesha IOS 5 na OSX lion zishaiva nazani zitakuwa zinapatikana kwa hilo duka lao la mtandaoni. Kwawale wanaosubiria iphone5 kila kona nikisoma tetesi naona ni kama bado haijaiva jikoni na lile tetemeko kule japani limefanya vifaa kua adimu kidogo nazani labda mwakani sina uakika lakini.
   
 2. Glucky

  Glucky Senior Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: Dec 16, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  lets wait for the great technology. iyo kitu unaongelea inaitwa dropbox
   
 3. i411

  i411 JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Naisubiria kweli hiyo dropbox manake nina mac mbili sasa nitakuwa napakia tumafail kwahewa safi sana. Alafu unajua tena IOS 5 inakuja oana na OS lione lol… basi hapo muungurumo utakuwa mkubwa
   
 4. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mi hyo ya universal computing cjui ndo naisubiria...yaan by typing ur apple credentials to any mac in the world u'll be presented with all ur apps,everythng n ur home mac n u can also make changes deleting,installing new apps and all will be saved...kwa kweli....
   
 5. i411

  i411 JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Karibia mda unafika sasa apple wata live stream the event kutoka kwa website yao
   
 6. mdeesingano

  mdeesingano Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmhhh, technology is doing great... Hope na sisi tanzanians tuta-play our part in changing our technologies..

  Even if its slightly noticeable, its a change, make it happen!
   
Loading...