Habari zenu wana Jamvi, naombeni ushauri juu ya hizi fridge zilizopo madukani, ni aina gani ya fridge ni nzuri na inayodum mda mrefu, na ni kitu gani cha kuzingatia wakati wa kununua hizi fridge...
Habar wadau
hope kila mtu leo upo home wiki iliopita nilianzisha mada ya fiber internet na kila kitu kikawa sawa kila mtu anajua kuwa unternet ni muhimu katika kusaka saka huku na kule niligundua...
Habari Wana Jf,kama kichwa Cha habari kinavyojieleza.Mfano nataka kufungua ofisi/cafe,niweze kutoa na huduma ya wifi pia.Kwa uzoefu wako,ni ISP gan ungependekeza kuomba huduma husika?
Mfano...
Ni kwa toleo lile lilioandika nyuma Docomo kutoka Japan - SO-O1K.
niliwahi kununua simu hii yani kamera ni kali, ram si 4gb, battery inachaji fasta na inakaa, simu ngumu, n.k ila kwenye network...
Jinsi ya kutumia tovuti ya #midjourney kutengeneza picha za hatari:
1. Jisajili kwenye Discord.com. Hakikisha una verify email yako.
2. Ingia midjourney.com alafu utengeneze account yako kwenye...
Wakuu kwema? Nilikuwa naomba ushauri wa duka au sehemu gani naweza nunua desktop computer yenye uwezo mzuri wakufanyia kazi zangu za productions (video editing na graphic design). Nina bajeti ya...
Habari wakuu humu JF kuna wajuzi wa mambo mengi, naomba kuelekezwa jinsi ya kulifungua game hili la PPSSPP
Nimeshindwa kufungua na kuanza kulicheza.
Picha ya kwanza baada kufungua App inafunguka...
Hello bosses,
Niko hapa na-code huku naangalia Azamtv, kiukweli wana graphics kali sana. Sasa nikawa najiuliza hivi hio speed ya transmission inachezea kwenye mb/s ngapi kwa sababu nikisema...
Wana jf habari za muda huu
Tumeni project za kiuhasibu kama template za kuandaa bank reconciliation, cash book, payment voucher, etc yaani yoyote tuone Kali ni ipi?
Habari wadau!!
TV yangu aina ZUNNE inch 32 nikiiwasha inawaka mara moja tena sekunde halafu inazima na haioneshi picha kabisa tatizo limeanza leo majira ya saa 5 asubuhi
Tatizo linaweza kuwa ni...
Project Kuiper ya Amazon ambayo itatoa huduma ya mtandao kwa kupitia satelite inatarajiwa kuanza kazi 2024. Huduma hiyo itakuwa na spidi zifuatazo.
Standard 400Mbps
Ultra-compact (Dish ndogo) 100...
Habari zenu wana-technologia!,
Nahitaji kuIntergrate Mobile Application yangu na Mfumo wa malipo, ikiwa namaanisha mteja aweze kulipia kwa mfumo wa USSD.
Naomba msaada nifanye nini?
Natumia...
Hello bosses.
Wale wapenzi wa mchezo wa karata aina ya Arubastini nmewatengenezea hili game. Kwa upande wa LASTCARD nalo nitaliweka playstore hivi karibuni.
Download kutoka playstore (search...
Nimeona watu wengi wanatumia PC ambayo inahitaji window activation, sasa nikaona niwafahamishe namna ya kufanya activation.
Ili kuactivate window 10, fuata hizi steps
1. Nenda kwenye search then...
Kama unataka kumiliki simu nzuri na yenye uwezo mkubwa basi jambo la kwanza la kuangalia ni processor kwenye ulimwengu wa simu hufahamika kama SoC (System on Chip).
SoC (system on chip) ni...