Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu, naomba msaada hapa, I cant get access to internet kwenye Blackberry........linawezekana ku-configure hii kitu nipate mobile internet bila kulipia package za mwezi za blackberry...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Naomba msaidie nimedownlod bolt na uc browser kwanye simu ya NOKI 2730Classic,lakini haifungukia nifanyeje???natumaini nitapata msaada wakuu.
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Waungwana nina modem ya vodacom aina ya vodafone HSDPA USB Stick....model: K3565-Z ......ZTE corporation je naweza kuiflash mana nataka kutumia line ya airtel? How?
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Ebana tabu tupu hapa katika pc yangu.nikijaribu kufomat cd haionekani.nimejaribu kuweka cd rom ingine mchezo upo pale pale.je kuna sehemu nakosea?
0 Reactions
4 Replies
866 Views
If you want to make your own fonts in window then just follow these steps. first go to start>Run & type here eudcedit and hit enter. Now use your creativity & make your own fonts.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Optical Character Recognition (OCR) is a method that allows you to convert scanned documents into editable text form.If you have to copy some book or other piece of work from a paper into your...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Habar za wakati wataalamu wa it.Simu yangu aina ya NOKIA 1280 imegoma kuwaka na inaandika CONTACT SERVICES.Hapo ufumbuz ni nini?msaada jamani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
If you are surfing on small monitor and want to use full screen to view websites just press F11 and your browser will remove all toolbars, address bar and the full screen size will be utilized to...
2 Reactions
2 Replies
826 Views
A PERSONAL assistant built into the latest iPhone is wowing owners with its ability to answer odd questions — it even knows the meaning of life.The gizmo called Siri was designed to respond to...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Habar zenu wadau mim cyo mtaalam xana wa haya mambo lkn kutokana na mawazo yangu na mtizamo wangu binafsi kuna hili swala linaniumiza kichwa kidogo ndiyo mana nimeamua kulifikisha kwa wataalam...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Text becomes unreadable Open Notepad On the very first line, type in "dont eat the donut" (without quotes) then save and close the file. Note: the file should have only one line of the text...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
JUST follow these steps 1. Login to your account 2. At the top-right corner, click on Settings 3. Under Settings, click on Filters 4. You’ll now see an option “Create a new...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Spread a cloth on a flat surface and place the CD on it. 2. Then, hold the disc with one hand, use the other to wipe the polish into the affected area with a soft cloth. 3. Wait for it to dry...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Assuming your starting from the very beginning... * You MUST set single core mode in bios! * 1. Acquire Kalyway Leo 10.5.1 Intel Install Image. 2. Acquire Kalyway 10.5.2 Combo Update 3...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi hawa jamaa wamebadilisha viwango vya kupiga simu nini. Karibia wiki nzima sasa naona makato ya ajabu ajabu tu au ni mimi tu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ndugu wakuu wa kambi viongozi wa msafara...kama nilivyoandika hapo juu...application hii ya ZIP MANAGER nimekua nayo karibia katika kila simu (smart phone) ninayonunua tatizo nashindwa kujua ni ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu naombeni msaada jinsi ya ku unrock moderm ya tigo model E153u-1 ,IMEI 352375045181518 ,S/N;KMA5TA10C0713800.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Na2mia nokia xpresmusic 1530. Kila nikidownload video naambiwa invalid web seting. Nifanyeje?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani wana jf cc cku zote 2 wamoja mwenye program hii anisaidie bac wajameni.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba kutumiwa au namna ya kuipata TYPING PAL SOFTWARE kati ya version 3 hadi 6. Ninashida nayo sana kwa ajili ya kujifunzia kuchapa katika computer.
0 Reactions
1 Replies
996 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…