Window could not start because the following file is missing

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Ebana tabu tupu hapa katika pc yangu.nikijaribu kufomat cd haionekani.nimejaribu kuweka cd rom ingine mchezo upo pale pale.je kuna sehemu nakosea?
 
mkuu solution ya computer kumiss file fulani nikuformat?...mbona watz tunapenda vitu virahisi vinavyokuja kutugharimu sana?? hiyo ni repair tu mzee...huenda cd rom drive ina shida....remember Cd Rom na Cd Rom Drive ni vitu viwili tofauti.....
 
sure mkubwa.but shida ipo kwenye booting.
 
Back
Top Bottom