Wataalam wa kuchakachua na modfication je?? Hiii imekaaje??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataalam wa kuchakachua na modfication je?? Hiii imekaaje???

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by LEGE, Oct 17, 2011.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Habar zenu wadau mim cyo mtaalam xana wa haya mambo lkn kutokana na mawazo yangu na mtizamo wangu binafsi kuna hili swala linaniumiza kichwa kidogo ndiyo mana nimeamua kulifikisha kwa wataalam ilimuweze kulidadavua.

  Kuna zile receiver za G-sport ambazo kwa sasa hapa bongo hazitumiki hivi haiwezekan kuzifanyia maujanja yoyote yale ili ziweze kutumika ama kwa kutumia kadi ya kampun nyingine km multchoice au kuweza kuitumia kama receiver kwa kudaka chanel ambazo zipo free na uweze kuitumia bila kadi.

  Au kwa njia yoyote ile hata kwa kuifanyia modifcation kwenye circuit yake.
  Kila nikipitia ukulasa huu huwa na kutana na thread ambazo huandika jinsi ya kuflash cim au modem ambazo huwa zinatumia line 1 na badala yake zitumie line zote je kwa hili haiwezekan?? Na kwanin haiwezekan?

  Nahitaji msaada wenu wadau naamin ntatatuliwa mawazo yangu ambayo yananisumbua mda mrefu.
   
 2. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Dah! Ata mimi nilkuwa nako angaika kshnz nako hola yan inashika signal ukiweka freq na symbol rate za fta lakini ukisearch hazidaki. Yan utaweza chika only fta ambazo zko fixed kushika humo ambazo ni kama 15 ukisearch kwenye opt ya FTA. Na pia code yake yakuingia advanced search ni 1978. Labda unaweza fanikiwa mie nilikata tamaa. Bt pia kuna port ya kuconnect na computer. I thnk the only way out ni kuireconfigure.
   
Loading...