Internet downloader manager

KANCHI

JF-Expert Member
Sep 3, 2011
1,533
229
Jamani wana jf cc cku zote 2 wamoja mwenye program hii anisaidie bac wajameni.
 
sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,277
Mkuu hii trial how about serial number.
ina patch yake ndani...download, install then kabla hujaifungua run patch (make sure idm yenyewe hairun kabisa - baada ya kuinsatall mara ningi huwa ina fungula yenyewe automatic so ikifunguka ifunge then angalia kwenye notification area(chini kulia karibu na tarehe) kama kuna symbol inaonyesha ina run right click then exit ) baada ya hapo run patch ikimaliza itaonyesha patch done ujue imemaliza...ikigoma ujue idm bado inarun..so fungua task manager then kill process zote za IDM...afu run tena patch..
 
ropam

Senior Member
Aug 11, 2010
173
35

Mkuu kwani kuna shida gani ukianza ku-run idm yenyewe then ikimaliza ndo uje u-run patch?
 
sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,277
Mkuu kwani kuna shida gani ukianza ku-run idm yenyewe then ikimaliza ndo uje u-run patch?
unajua kazi ya PATCH mkuu?
A patch is a piece of software designed to fix problems with, or update a computer program or its supporting data.
(source : http://en.wikipedia.org/wiki/Patch_(computing) )
hivyo basi hii hutumika pia kuifanya software yoyote iliyo trial version iwe full version bila kuweka key/activation code...yenyewe inaimodify hiyo trial na kuwa full version...sasa ili ifanye hiyo kazi ya ku patch ni lazima software yenyewe isiwe inatumika mda huo (running) ...so kama utaamua ku run kwanza trial version then baadae uifunge yote then u fany patching its up to you but recommended is to patch before you run!
 
e2themiza

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
974
562
baadae itamwambia 'you provided fake serial number'
only if haujaipatch au kufuata procedure vizur. Kama imetokea hv the patch wasnt successfully input. First kabla ya kupatch hakikisha iyo idm is not runing check kwenye task manager also. Then Nashauri wakat unaiopen iyo patch rite click it and run as admin... Hi kwa vista an 7. Then kama ulishawah weka serial or patche before click clear previous regestration then click patch. Na hakikisha inasema the patch was successful. Sasa just copy iyo serial na fungua idm apo utaona ile msg ya fake serial haijatokea. Nenda registration andika any name and email then paste the serial click ok. Apo hautasumbuliawa tena na kuwa haiko registered. Na matumaini iyo patch iliyowekwa ndo ile ya version zote. Coz wat ido ikitoka version mpya na unistal hii na ku clear patch and instal iyo mpya na kuipatch. And it har be workn mwaka wa pili huu. Itr just the matter of the rite procedure.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom