Makomangilo
Member
- Oct 14, 2011
- 20
- 3
Naomba kutumiwa au namna ya kuipata TYPING PAL SOFTWARE kati ya version 3 hadi 6. Ninashida nayo sana kwa ajili ya kujifunzia kuchapa katika computer.
Piga Hodi kwanza ndugu........namnagani unatangaza shida kabla ya kusalimia?Naomba kutumiwa au namna ya kuipata TYPING PAL SOFTWARE kati ya version 3 hadi 6. Ninashida nayo sana kwa ajili ya kujifunzia kuchapa katika computer.