Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nipo huku mkoani Nilinunua lnb na decoder mwanzo viliungua na radi ila katika Channel ya TBC radio zipo mbili tu tbc fm na taifa clouds haipo je njia gani nitumie kuiadd hii clouds?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yap 2 whole weeks for free Zantel UNLIMITED download woow!!! In one week I download like 20GB so.. 2 weeks u can even download 50GB its up to you... All you gat to do is win My Competition and you...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
wadau tafadhali naomba mnisaidie, kuna bwana mmoja kaniletea ipad anadai ni hii mpya(iliyorelease-wa Oct 2011) naombeni mnisaidie kwamba nitatofautishaje kati ya iPad 1, iPad 2 na hiyo iPad 3...
0 Reactions
3 Replies
912 Views
Msaada wenu tafadhali kila napofungua website ya FACEBOOK inajifungua Camolist.com. Nifanye nn wadau nashindwa access FB.:help:
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba msaada hapa,Natumia Nokia X2-01 sasa nikitaka ku download inaenda mpaka file husika na kunihitaji nichague folder la ku save file hlo bt mwisho wa siku napata msg hz Error and Error...
0 Reactions
3 Replies
996 Views
Nahitaji Simu ya aina Samsung Galaxy Note ambayo ni locked..If any is able to get t i would so much appreciate t SANA YANI!!...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natumia blackberry bold, juzi imebadilika screen imekuwa nyeupe na kisaa kinatokea katikati, now inawaka na kuzimika, haikubali kuconnect kwenye pc, hata cjui tatizo nini, anayejua anihelp
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwanzo nilikuwa ninatumia internet ya tigo kwenye simu yangu nokia 3110 bila matatizo ila nikapoteza sim kad hiyo na kununua nyingne, ila hii mpya nikitaka kuingia net inaniambia 'Packet data...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wadau naomba maelekezo jinsi ya kuunga internet kwenye ideos na jinsi ya connect bluetooth
0 Reactions
2 Replies
774 Views
habari jf, Napenda tu kupata mawazo kutoka kwa wataalamu wa kutengeneza website wanaonaje muonekano na mpangilio wa website hii?: http://maajabuyamaji.net/ Haya tena ma-great thinkers, baada ya...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Ni siku 2 sasa kila ikifika jioni mtandao wa Jamii Forum unakumbwa na hii k2 je? Nini naomba wataalam watujuze
0 Reactions
2 Replies
848 Views
Mwenye hii kitu anisaidie wakuu nimetafuta free download nimeshindwa.hata ninayopata ni 1.4GB na yenyewe ni 30 days trial mwenye nayo anisaidie kupitia qq.com@hotmail.co.uk
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Msaada wakuu. Hii browser iko poa sana, ila kuna issue inanitatiza kidogo. Kwenye ile version ya mwanzo nilikuwa naweza ku-save page kupitia: Options>Tools>Save Page. Kama kuna mtu anaejua namna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wana JF mm sina uzoefu wa kutosha juu ya hizi printer.........ilka nataka kununua printer yenye uwezo wa ku-print passport size, karatasi kwa rangi zote coloured na coloures. so nahitaji kujua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna scam inatumwa via e-mail na kuweka jina lako kamili inayoahidi mapesa kiasi cha $5,000 kila siku baada ya wewe kutuma "Registration/Clearance fees" kama kawaida hii ni ya kuitupa in the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanaJF? jamani mi naomba mwenye uelewa kuhusu package,bei,channels for each package anijuze tafadhali...!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Selling my old first generation xbox live. Lens need to be cleaned.. If u are interested its for 100,000tsh 1 Xbox original pad 2 Xbox original games Power chords and Standard AV cables...
0 Reactions
1 Replies
791 Views
wakuu msaada kwa mtu anayefahmu jinsi yakuconfigure ActiveSync ambayo ipo kwenye hii simu. nahitaj kuzi sync contatcs zangu
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Jamani naombeni msaada wenu, mm natumia king'amuzi cha Star Times, but kwa sasa sipati picha (Video) za Citizen TV, ninachokipata ni sauti (audio) tuuu....so help out great thinkers????
0 Reactions
6 Replies
2K Views
mfano kama utaluhusu *35*0000#kisha ok hapo utakuwa umesitisha cm ambazo utakuwa umepigiwa wala sms hutaweza kupata na simu yako bado itakuwa oni.we utaweza kupiga hata kutuma sms ila hawezi...
0 Reactions
42 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…