Msaada -blackberry torch imekataa kuplay music

ngarambe

Senior Member
Apr 15, 2012
100
14
Jamani waungwana nilikua na download nyimbo kutoka tubidy nilivyomaliza nikataka kuplay zikagoma nyimbo wote na video wote haziplay kbs. Hata ringtone imebadilika na kuwa ya tones ambazo ziko kwenye cm. Naombeni msaada
 
Umejaribu kutoa memory card ukaijaribu kwa simu nyingine kama inafunction poa?!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom