Get Moem that Give You Free Internet!!!!!!!

mfupa2

Member
Apr 24, 2012
13
5
Buy for 30,000 Tsh and get free Internet for 6months.
visit any airtel shop now.

mimi nimethibitisha hilo ninayo na Iko Poa Kabisa Wakuu wa JF :):glasses-nerdy:
 
Buy for 30,000 Tsh and get free Internet for 6months.
visit any airtel shop now.

mimi nimethibitisha hilo ninayo na Iko Poa Kabisa Wakuu wa JF :):glasses-nerdy:

Ina maana hii kitu ishamaliza miezi sita? na umejaribu kupakuwa file kubwa kama movie au application?
 
hakuna kitu hicho mkuu. wanakupa 200MB kama tu utaweka 6000, kila mwezi. sasa ndio free gani hiyo. kisha unasema umethibitisha wakati hata miezi mitano bado , weye umeshathibitisha kuwa umepata for free miezi sita. duh we noma.
au umekusudia kutangaza biashara......
 
Ki kweli jana nimeenda makao makuu ya Airtel-Moroco, wakaniambia siyo free kama watu wanavyodhani ni kwamba: unanunua 175 MB kwa sh. 6000, ukimaliza ndani ya mwezi mmoja wankupa offer ya mb 80, na hii huduma ipo kwa miezi sita. Kwa hiyo hili ni tangazo la kuwavuta watu kwa ujanja, ki ukweli ni ghali kuliko Zantel au Voda.
 
Buy for 30,000 Tsh and get free Internet for 6months.
visit any airtel shop now.

mimi nimethibitisha hilo ninayo na Iko Poa Kabisa Wakuu wa JF :):glasses-nerdy:

Jina lako nani vile?..............:A S confused::A S confused::A S confused:
 
Back
Top Bottom