wadau naomba msaada wenu, nina hard disk ya laptop ninayoitumia kama external hard disk drive ambayo ina kila kitu changu (250 gb full):A S-confused1:. imenishtua inapogoma kufunguka japo kwenye...
baada ya kupita hapa na pale mekutana na hii site wanakupa hadi dk 25 kupiga simu bure
Fata step hizi
1) open link yao (ipo chini) then register account
2) utatumiwa msg 2 kwenye simu yako ya...
Wadau hebu mnisaidie, kwanza nillinunua zantel line ya gsm, baada ya kuweka sh 500, ikawa inaconnect afu nikifungua page inaonesha kama hamna internet access. yaani page inafunguka na kuonesha...
Nina simu aina ya Blackberry torch 9800. Nina wiki mbili toka niinunue.
Naambiwa simu za aina hii zinaonesha ramani ya mahali ulipo, ukiwa kwenye gari inakupa speed ambayo dreva anatembea na...
wakuu ninasimu aina ya nokia 6500c,system yake ya charge imeunganika na camera,sasa vyote vimekufa,nimehangaika kwa mafundi kadhaa lakini nimekosa matumaini,naamini kwenye jukwaa hili nitapata...
Wana jamvi sikielewi hiki king'amuz cha startimes zile nön-conax chanel zinaonyesha vizuri lkn hizi zao sasa kila saa zinakwama kwama sielewi tatizo ni mitambo au kwa7bu nakaa nje ya mji lkn..non...
Free Web Hosting with no advertising, there is no catch, so what you see is what you get. Here is our offer to you:
1500 MB Disk Space
100,000 MB Bandwidth
Free Subdomain or Your Own Domain...
Hi Wakuu nimenunua black berry 9630 ila kuna tatizo moja nikiweka namba zile za kuiricharge yenyewe inapiga mpaka dakika hii sijaweka vocha tangia ninunue yaaani ni mballaa kwa anyefahamu anisaidie
Ninatumia ttcl broad band na ninahitaji kuichakachua ili nipate net buree nifanyeje naomba msaada wakuu modem ninayotumia ni HUAWEI Smarttax MT 880. Msaada tafadhali
Ndugu wapendwa naombeni msaada,baada ya ku'convert' mafaili yenye extension .flv na .wmv to mpg ili yaweze kuplay into my video player tatizo linakuja katika kuburn cd using either nero au...
Viewsonic viewpad 10E
Tablet PC (IPAD)
9.7" Touchscreeen
Webcam
Mini HDMI,
Up to 32GB via Micro SD
WiFi + Bluetooth
OS - ANDROID Gingerbread
Tzs 620,000/-
Brand New.
Habari wana jf.nawaomba mwenye kuifahamu simu ya kichina(moderate price),inayo weza kusurf internet i.e operamin,google,uc brouser.etc.anijuze na anitajie jina la hiyo simu.maana nimeiona TECNO...
Jaman wale wadau wa ku2mia maprox ye2 yale vp hi prox ya circle of brain washa iblock nini? Mana saiv kwang haipigi mzgo wala nini na ilikuw pouwa sana