Blackberry Playbook

Blackberry Playbook

mohamedn

Member
Joined
Feb 19, 2009
Posts
55
Reaction score
39
Wakuu tatizo langu ni Blackberry Playbook yangu haingii charge kabisa. Mimi huwa natumia charger ya smart phone ya Blackberry, na pia nimejaribu kucharge kupitia computer (usb) pia sikufanikiwa. Naombeni msaada kwa mwenye kujua.
 
Tumia charger yake, Amps zinazotoka kwenye charger ya simu na kwenye USB ni chache sana kwa ajili ya Playbook.
 
Back
Top Bottom