External webcam

Muggssy

Member
Aug 20, 2011
70
11
Wakku naomba kunijuza bei ya external webcam maana laptop yangu haina in built webcam. Nitashkur kwa msaada wenu wakuu
 
hercules claasic silva, 35 tsh ni nzuri , nakushauri tafutaa hii kitu ,
 
laptop yako ina win ipi mara nyingi kwenye win xp picha huwa inaonekana clear sana kuwa mwangalifu wakati wa kununua
 
buku ishiri tu iyo mzazi we nenda kaulize ndo bei yake iyo
 
kama kun mtu wa arusha anauza anijulishe ninunue kwa 15 hadi 20
hata kesho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom