Wadau ni duka gani kwa DSM naweza kupata plasma ama smart TV za kuanzia 40 to 55 inches (Samsung, LG ama Sony), nipo nje ya nchi wataalam wa Dar naomba msaada ili nisihangaike kununua huku kama bongo zipo na kwa bei ya kawaida (kama siyo ghari sana). Kama kuna mtu anajua bei zake tafadhali azimwage hapa!