Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jamani peruzi peruzi mtandaoni nimekaona haka ka galaxy S DUOS S 7562 ki ukweli nimekapenda sasa mwenye uzoefu kanauzwa sh ngapi kwa hapa bongo pia ubora wake kwa matumizi ya kawawaida mfano...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu hii modem tangu niinunue inaninyima raha kwasababu kila nikiweka inakaa kama sekunde kumi hivi inakata network! Nikadhani labda tatizo ni network ya eneo nililopo inasumbua lakini nikaazima...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naomba mnisaidie jamani, nime2mia kila njia lakn modem haisomi ktk tablet. Nifanyaje? Msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wanajukwaa, Swali langu ni kama linavyojieleza hapo juu,je kuna umuhimu wa kufanya windows update? na je kuna faida ya kufanya hivyo? na nini hasara au manufaa atakayokosa kwa asiyefanya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
TCRA tunaomba mliangalie hili tuweze kupata our Free-to-Air channels on DStv, Zuku, etc Decoders. Kwa nini niwe na decoder mbili… Makamba angalia hili bana….
0 Reactions
25 Replies
4K Views
jamani wakali wa hii digitali na analogia hom natumia dishi kuchek habar na huu mpango wa digitali umeua kabiasa xaxa ni lazima ununue king'amuzi au kuna ving'amuzi special vya madishi...?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habr zenu wakuu naomba msaada jinsi ya assmbly mthrboard vt gani vya kuzngatia au kama kuna link mnaweza kunisaidia, it is a report naandaa. Mungu awabariki
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina kama saa nzima hapa mbele ya king'amuzi changu cha startime niangalie taarifa ya habari,nilichokikuta ni aibu.hakuna hata chanel moja ya bongo inayofanya kaz ni mwendo wa citizen,bbc...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
jamani...wadau mnaotumia king`amuzi cha dstv...msaada wenu mwenzenu inakuwaje.....king`amuzi changu cha dstv napata channel moja...ya tbc 1 taifa....ila television zingine itv,star...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ,nlikuwa nahitaji kudownload adobe flash player kwenye simu yangu ya htc window 8x na imekuwa ikinisumbua sana nashindwa hata kuona baadhi video ata bbc i player kwani ni mara ya kwanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada wakuu juzi nilinunua Blackberry 9630 kutoka kwa mmoja wa marafiki zangu lakini kuna matatizo kadhaa yanayonifanya nianze kuzichukia hizi simu 1. nimeinganisha kwenye pc na usb cable ili...
0 Reactions
1 Replies
866 Views
Tech trends for 2013: Five things to watch By Nilay Patel, Special to CNN January 2, 2013 -- Updated 1757 GMT (0157 HKT) Nilay Patel asks whether Apple will be able to get its mojo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta anti virus kaspersky 2013 3 user
0 Reactions
1 Replies
840 Views
nimeunga ttcl broadband ila nashindwa kushare computer zangu,nina komputer nne nataka niwe naweza kushare files za computer moja hadi nyingine.pia nikiweka program za time watcher au cafezee kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
A smartphone and tablet said to be the first designed by an African company have beenlaunched. The products, designed by Congolese entrepreneur Verone Mankou, are manufactured in China. His...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wakuu! Nataka kununua king'amuzi kwa ambaye anavitumia naomba anieleze yafuatayo 1) bei ya king'amuzi 2) malipo kwa mwezi 3) idadi ya chanel nitakazoziona ni Star times, TING, Zuku na...
0 Reactions
30 Replies
10K Views
Wakuu natumia iphone sasa naitaji kupata ile application ya whatasp kuna maujanja yoyote yanaweza kufanyika? I mean kwa kupata ile application kwa free
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Jamani kama kuna yeyote anayefahamu jinsi ya kuingiza proxy na port za airtel kwenye firefox au opera mini afunguke hapa anipe maujanja....Thanks in advance.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nasikia hizi kampuni za mitandao ya simu zinaprovide tu network lakini hazihusiki na utengenezaji wa vocha za airtime,hii inakuwaje? Na ni makampuni gani kwa hapa kwetu yanahusika na...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Ndugu zangu, Kutokana na maoni ya wadau mbalimbali tunayo furaha kuwatangazia, kuwa Mjengwa Blog itatoka na muonekano mpya ifikapo Januari Mosi 2013. Maggid Mjengwa Mwenyekiti Mtendaji -Mjengwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…