Nina kama saa nzima hapa mbele ya king'amuzi changu cha startime niangalie taarifa ya habari,nilichokikuta ni aibu.hakuna hata chanel moja ya bongo inayofanya kaz ni mwendo wa citizen,bbc, aljazeer nk.Wenzangu vp?au digital kwa local channel ina alergy na hali ya mvua????