nimeunga ttcl broadband ila nashindwa kushare computer zangu

nimeunga ttcl broadband ila nashindwa kushare computer zangu

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
nimeunga ttcl broadband ila nashindwa kushare computer zangu,nina komputer nne nataka niwe naweza kushare files za computer moja hadi nyingine.pia nikiweka program za time watcher au cafezee kwa ajili ya cafe,inanipa warning kuwa this computer haijawa connected kwenye server, kwa hiyo inavyoonesha administrator pc na clients pc hazina mawasiliano,msaada
 
Kaka kazi kama hizi kuelekezana kwenye forum ni issue hadi tuwe sawa kwenye matendo ka vp we andaa budget kidogo watu waje kukupigia kazi.No Pain No Gain
 
Ttcl haihusiki katika hili, inategemea hizo pc umezinetwork vipi pamoja, pia jaribu kuzima firewall kwenye client na server temporarily kuona kama zitaonana.
 
Ttcl haihusiki katika hili, inategemea hizo pc umezinetwork vipi pamoja, pia jaribu kuzima firewall kwenye client na server temporarily kuona kama zitaonana.

sijajua jinsi ya kuzima hizo firewall,naomba muongozo kidogo mkuu,coz nilichoweza mimi ni kuunga tu hii moderm yao then nime connect zile rj cable kutoka kwenye mordem hadi kwenye kila computer.ila sasa kila computer inafanya kazi kivyake hazina uhusiano kabisa.
 
Kaka kazi kama hizi kuelekezana kwenye forum ni issue hadi tuwe sawa kwenye matendo ka vp we andaa budget kidogo watu waje kukupigia kazi.No Pain No Gain

asante kwa ushauri mkuu
 
Shida yako ni kuweza kushare files tu au pamoja na internet. Njia rahisi ni kutengeza workgrop, na kila computer unarun hiyo wizard na kuipa computer yako jina, then ukienda kwenye network places utaziona computer zako zote na shared folders zote.
 
Start > control panel > search firewall juu kulia, click windows firewall > turn windows firewall on or off> click turn off windows firewall zote. Jaribu hiyo timewatcher yako.
 
Back
Top Bottom