Wakuu hii modem tangu niinunue inaninyima raha kwasababu kila nikiweka inakaa kama sekunde kumi hivi inakata network! Nikadhani labda tatizo ni network ya eneo nililopo inasumbua lakini nikaazima modem nyingine ya Airtel ambayo ni Huawei kwa jirani yangu, nikaweka laini yangu na ikapiga mzigo bila shida. Sijui tatizo ni nini, msaada wakuu!