msaada wa kuweka adobe flash player kwenye htc window 8x

msaada wa kuweka adobe flash player kwenye htc window 8x

talib

Member
Joined
Mar 29, 2010
Posts
36
Reaction score
5
Habari ,nlikuwa nahitaji kudownload adobe flash player kwenye simu yangu ya htc window 8x na imekuwa ikinisumbua sana nashindwa hata kuona baadhi video ata bbc i player kwani ni mara ya kwanza kutumia windows phone na mara zote nimekuwa nikitumia android,nilikuwa nauliza ntawezaje kui download hii app as a free one kwenye sim yangu,asanteni
 
search haya maneno kwenye google

Adobe Developer Connection - Flash Player Certified Devices
 
mkuu for what i know instead ya flash player htc 8x ina html5 ambayo inaplay vizuri tu video za online.

Internet explorer 10 ambayo ndo browser yake ambayo haisuport flash bali html5 sema hili haliizuii developer wengine kudevelop vitu vya flash (japo adobe wenyewe wameacha kwa simu).

Ushauri wangu download app ya bbc kwa wp8 then uangalie kama kuna uwezekano wa kuplay hizo video.
 
Back
Top Bottom