Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Waungwana nahitaji kuwa programmer si kwa minajili ya kuajiliwa hapana kwan mm ni mwajiliwa pale MMP ila napenda tu huo ujuz. Nawezaje kuwa hvyo pasipo kupitia chuo? Kama kuna mtu anaweza kunipa...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Wakuu kuna hizi mesage za minara kwa kweli zinaniboa sana na sijajua zilianza vipi kuingia kwenye simu yangu, make nimejaribu kucheki watu wa Airtel wananiambia ni seting, ila hata nikibadili simu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu wa tech... Display ya nokia e72 ni bei gani? kama mtu unayo tunaweza kufanya biashara.. thanks in advance!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,nilikua ninaomba msaada kwa yeyote yule ambaye ni mjuzi wa mambo ya window na ku boot,ni hivi pc yangu ilikua na windows 2,kwa hiyo ilikua kila ukiwasha inakuletea ile option ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimejaribu kutengeneza website, ni ya kwanza lakini kwa sababu nia ipo naamini mwisho wa siku itakuwa poa. Hebu tujaribu kuipitia. Bofya hapa chini. My friends sharing junction | Wix.com
0 Reactions
8 Replies
1K Views
ndugu zangu wa jmf ninawaombeni kama kuna mtu anajua nitapata wapi cable za psp(AVcable),maana mi nimejaribu sana kuitafuta.pls help.me
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chanzo: Gajetek - Gajet na Teknolojia Wakati watu wengi huchukulia kuiba si kitendo kinachotarajiwa kufanywa na muungwana, kuiba media; yaani muziki, video, apps, ebooks na aina nyingine ya...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Wadau hivi crdb wamesema mwisho wa ku update account yako ni lin
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hi wanajukwaa,,,nimesikia redion wakitangaza kuwa modem za zantel sasa zimeshuka fro 30000 mpaka 15000,,,kwa ambaye kasikia nakuona basi atwambie hii ni modem model gani,,,specifications zake...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habarini wanajukwaa,matatizo ya computer na teknolojia ni makubwa hasa huku kwetu,hivyo kwa kuonelea hilo tumekuwa na web yetu ambayo inafundisha hatua kwa hatua za jinsi ya kutatua matatizo...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Habari za wakati huu waungwana. Kama unaweza kupata masaa 2 tu kwa siku na unapenda kujifunza kudesign na kuhost website au blog kwa lugha na namna nyepesi na unaishi dar, wasiliana na mimi kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuna anti-virus kadhaa za simu. Anti-virus hizi hutofautiana kadiri ya aina na toleo la simu, mfano NetQin kwa ajili ya Nokia. Naomba kuuliza, je anti-virus hizo zina uwezo wa kuilinda simu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina rafiki yangu anaomba msaada wa nini cha kufanya. Akiwasha computer yake, inatoa mlio kama inawaka lakini haionyeshi kitu chochote kweny screen, je tatizo litakuwa nini? Mwenye mawazo ya...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu,nilikua ninaomba kama kuna anayefahamu,ni hivi juzi kuna rafiki yangu alikuja na cd yake ya windows 7 ultimate sasa nikai burn kwenye dvd kama file la kawaida,sasa ninataka...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Unless the hardware ugrade which has produced Samsung galaxy S4 like 4-core chipset processor, upgraded screen protection by the new corning gorilla glass 3 means much to you, you do not have to...
0 Reactions
4 Replies
969 Views
Jinsi ya kuapgrade ideos mi A300 v.2.2
0 Reactions
0 Replies
654 Views
habari hili tatizo la laptop yangu kuzima mara kwa mara linasababishwa na nini unatype inazima yenyewe na hdd haijajaa nini tatizo wakuu wenye ujuzi anisaidie fen inazunguka inaweza ikawa overheat...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nitumie njia gani ili niweze kuzidownload hizi video PHP and MySQL 24-Hour Trainer - Wrox
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jamani naomba msaada ntapata wapi spare za iphone 3gs kwa bei nzuri?? nataka kioo na speaker
0 Reactions
2 Replies
1K Views
16/03/2013 "Makoti" ya Android: Sehemu ya 1 Sifa kubwa ya Android ni kuibadili upendavyo. Watengeneza simu wa kampuni kubwa huivalisha OS ya Android "koti" ili kuitofautisha na Android...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…