Je anti-virus za simu ni imara?

Je anti-virus za simu ni imara?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,586
Reaction score
5,325
kuna anti-virus kadhaa za simu. Anti-virus hizi hutofautiana kadiri ya aina na toleo la simu, mfano NetQin kwa ajili ya Nokia.
Naomba kuuliza, je anti-virus hizo zina uwezo wa kuilinda simu isishambuliwe kwa urahisi?
Nauliza hivyo kwa kuwa, natumie NetQuin kwenye Nokia, ila nulimpa mtu memory card yangu, mtu huyo akaniambia ina virusi kwa kuwa baada ya kuiweka kwenye simu yake, simu yake iligoma kuwaka.
 
Back
Top Bottom