Computer hai-display kitu kwenye sceen, naomba msaada!

Computer hai-display kitu kwenye sceen, naomba msaada!

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
2,134
Reaction score
664
Nina rafiki yangu anaomba msaada wa nini cha kufanya. Akiwasha computer yake, inatoa mlio kama inawaka lakini haionyeshi kitu chochote kweny screen, je tatizo litakuwa nini? Mwenye mawazo ya kuweza kumsaidia naomba anijuze. Asante.
 
cha kwanza ni kuhakikisha kwamba ni kuwa mashine inawaka kabisa na display ndo inasumbua. so, tafuteni monitor na muunganishe via vga, ikitoa display kwenye monitor ujue unahitaji kureplace display ya laptop, kama bado haitoi signal, tutaangalia tatizo lingine leh
 
Last edited by a moderator:

asante, ngoja niwasiliane nae alafu nitarudi.
 
Last edited by a moderator:
Nina rafiki yangu anaomba msaada wa nini cha kufanya. Akiwasha computer yake, inatoa mlio kama inawaka lakini haionyeshi kitu chochote kweny screen, je tatizo litakuwa nini? Mwenye mawazo ya kuweza kumsaidia naomba anijuze. Asante.

Imekuwa hivyo baada ya kutokea nini,aliidondosha au kuigonga sehemu?Wewe una utalam na computer?Nisije nikawa nakuambia vitu kumbe nakupa hard time.Je ule muungurumo unaosikika itakuwa ni fan zinazunguka unakuwepo muda wote?Je je ikiwaka hakuna hata kitu kinaonekana hata kwa mbali kwenye screen?Atafute mtaalam wajaribu kuchek hardware kama zime kaa vizuri na ajaribu kwa mafano kutoa na kurudish RAM,hard disk,kutoa battery kwa muda then kuirudisha,on hardware after another.Hakuna kimlio cha kuonyesha POST(power on self test) inakuwa inamalizika?
Acheck na the nearest expert wa mambo hayo.Aogope sana mafundi wanaokimbilia kusema hard disk/hardware zingine zimekufa.
 
inawezekana mambo mawili,kama hata bios haiwaki nikimaanisha yale maneno ya kampuni lililotengeneza computer kuna tatizo na display,lakini unawezakulipatia ufumbuzi hapa complexsystem.net
 
Laptop yangu iliwahi kupata tatizo kama hilo baada ya kuiangusha. Nilimpelekea mtaalamu ambaye aliiangalia na kuniambia kwamba ameona kama vile kila kitu kiko sawa na akaniambia anajaribu kutafuta software atakayo run na akasema ana imani itarudia kufanyakazi.Bahati mbaya hakuniambia jina la hiyo software lakini display ilirudi na kwa sasa it is over one yearhilo tatizo halijajirudia tena.

Ipeleke kwa wataalamu.

Tiba
 
Back
Top Bottom