Bi nyakomba JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 385 Reaction score 104 Jul 10, 2013 #1 habari. Naomba kujua jinsi ya kujitoa ktk huduma hii. Pale mtu anapopiga cm na kusikia muito flan. Mtandao wa vodacom. Thanx in adv
habari. Naomba kujua jinsi ya kujitoa ktk huduma hii. Pale mtu anapopiga cm na kusikia muito flan. Mtandao wa vodacom. Thanx in adv
Going Concern JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 1,071 Reaction score 1,213 Jul 10, 2013 #2 mkuu, usitoke bhana, enjoy maisha na nyimbo ya majanga.... Ninyimbo nzuri sana.